funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Sing'isi sio TengeruBaada ya barabara kujengwa eneo la tengeru na kuwa double road bado kuna ajali? Madereva wetu hawatakaa wajifunze .
Sing'isi sio TengeruBaada ya barabara kujengwa eneo la tengeru na kuwa double road bado kuna ajali? Madereva wetu hawatakaa wajifunze .
Si lazima...ndo maana wameponaKwanini mnasema wamenusirika KUFA kwani Ajali Lazima Ufe???
Kuna mwarabu mmoja alikaa nyuma ya dereva kajiachia pale...yaani sijamuona tumeruka nje lakini yeye hajaonekana hadi sasa na alikuwa bonge sijui karukaje maana mlango haukuwepoJamani abiria wanaopenda kukaa mbele kwenye gari na kuanza kusinzia wanatakiwa kuwa makini sana ikiwa pamoja na kufunga mikanda.
Wewe ndo cleopatra!?Afadhali yalija sababisha madhara makubwa sana, Ila madereva wa mabasi sometimes huwa wana haraka zisizo na maana
Asante kwa niaba ya wote!!Poleni abiria wote mlionusurika
HAKUNA MANUSURA WA KIFO MKUU!!ITS EITHER U'R DEAD OR ALIVE!!Asante kwa taarifa!Abiria zaidi ya 50 waliokuwa wakitokea jijini Arusha kuelekea Morogoro wamenusurika kufa na baadhi yao kujeruhiwa akiwemo Dereva, baada ya basi la Abood waliokuwa wakisafiria kuligonga gari jingine kwa nyuma katika eneo la Sang'isi , Tengeru mapema asubuhi leo, Polisi wapo eneo la tukio.
Angalia Picha za basi hilo![]()
![]()
![]()
Panavutia
Poleni sana mkuuKuna mwarabu mmoja alikaa nyuma ya dereva kajiachia pale...yaani sijamuona tumeruka nje lakini yeye hajaonekana hadi sasa na alikuwa bonge sijui karukaje maana mlango haukuwepo
Kuna wadada wawili walikuwa wanaenda moshi walikaa Kwenye boneti kwa dereva, walirukia upande wangu maana mm nilikuwa nmekaa siti moja nyuma kutoka kwa kinda.
Kuna mdada nilikaa naye alimuomba kinda kwamba akae pale mbele kinda hakumruhusu, yaani angekaa nahisi angekufa maana alikuwa legelege sana
Wa Kwenye boneti walisalimika ila michubuko ya kuruka maana ajali ilionekana mapema
Asante sana kiongoziPoleni sana mkuu
NotedAsante sana kiongozi