KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
haiwezekani!!!!!!!! Hizo nderemo labda kwao uko bagamoyo, ar big no!! Nae analijua ilo ndo akapita juu kwa juu, uoni serikali yake inawazuia watu ata kujumuika pamoja?? Uoni inavyowabambikia kesi watu wa arusha, uoni matamasha ya dini yakikesha ila wananchi wakithubutu wanabambikiwa kesi, jk hawezi onekana ukohivi akipita arusha kutatokea nini?acheni siasa za uhasama nina hakika jk akija huko sioni kitakachotokea sanasana ninawaomba siku akitua ar mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha uhasamausiokwisha
Watu wanapenda kujidagnya bana hivi kweli rais Kikwete hawezi kupita Arusha kisa anawaogopa wana Chadema!
Yupo ikulu anapazoea, wanazungumza na mkuu wa magamba ishu ya katibaHuyo dokta ana kipi kipya? Yupo wapi kwa sasa?
Kwa kujipa matumaini tu hamjambo!!! am sure, for 100% hata akifika Arusha hakuna mtakachofanya!!!Mnaweza kujaribu kufanya myatakayo lakini hamwezi kufanikiwa!Sijui wewe unaishi wapi hadi uwe mgumu kuelewa, lakini kwa ufupi mji wa Arusha uko katika Next Level!
Wana Arusha wana uwezo wa kufanya japo kitendo chochote ili kuonyesha wanachoamini na kusimamia mioyoni mwao.
Nimeshudia leo dereva mmoja wa magari yanayoenda kwa jina la MILANO(wanaoishi Arusha wanayajua sana), akigomea maelekezo ya traffic waliokuwa wanaopanga magari eneo la gereza kuu Kisongo, ili kuupisha msafara wa JK.
Dereva huyo amebebwa juu juu na wanausalama wa msafara huo kwa Tanganyika -jeki na kuingizwa katika gereza kuu la hapohapo Kisongo, na majaliwa yake ni Jumatatu ambapo huenda akapata mzamana!...mbaya zaidi kijana huyo haonyeshi kujutia kitendo chake!Usipime na Wana-Arusha jomba!
Thats why we also like you! Only because unasema ukweli. Sala la Arusa ni zaidi ya wengi wanavyodhani. Maana hata lile swala la kukamatwa watu waliokuwa kwenye mkesha pale nmc ni mvua iliwasaidia polisi. Otherwise pangekuwa kosovo!Hawezi jamani,ninyi wote mnaobisha najua wengine ni wausalama tell him to try nitakuwa shahidi kwani nitahakikisha nipo mjini that day.nawapenda na kuwakubali ndugu zangu wa Arusha.
Ndugu yangu screenmaster nakubaliana na hoja yako labda niongeze kidogo kwa taarifa ya wana jamvi wengine ni kwamba jk hajawahi kukanyaga Arusha kwa mwaka mzima kufanya shughuli za kiserikali sasa kwa mara ya mwisho alifanya shughuli za kiserikali Desemba 17 mwaka 2010 alipofungua mount meru hotel na tangu wakati hajawahi kufika tena.
Novemba 12 mwaka huu alikuwa aje azindue mpango wa chanjo ya Taifa kwa watoto lakini katika hatua ya kushangaza alikuja makamu wa Rais Dk.Bilal kuzindua badala yake na wakati huo watendaji wa serikali mkoani arusha walitangaza sana kuwa rais angezindua chanjo hiyo.
Ifahamike kuwa Arusha ilikuwa kati ya mikoa michache ambayo katika awamu ya kwanza ya utawala wake aliitembelea sana na wakati mwingine hata mra mbili kwa mwezi kwa shughuli za kiserikali na hata zile binafsi
Swali ni kwamba je jk anahofu gani kuja ar? je ni mgogoro wa kisiasa wa Chadema ?je ni mgogoro wa ndani wa ccm baina yake na kundi la EL?
Thats why we also like you! Only because unasema ukweli. Sala la Arusa ni zaidi ya wengi wanavyodhani. Maana hata lile swala la kukamatwa watu waliokuwa kwenye mkesha pale nmc ni mvua iliwasaidia polisi. Otherwise pangekuwa kosovo!
Haya sasa, ,kumbe hata mvua mnaiogopa!!! Mie nilizani maji ya kuwasha na mambomu ya machozi pekee!!!
JK alikuwa hana raha, mnyonge, mpole hana uchangamfu ... Stressed by Magamba in Dodoma?? Did Magamba proved him worthless? ... JK Should take care..... AND... Realy be careful with this. Because if he will let the magamba stress internalise ... Honestly and shurely his immunite wil be Compromised! ... And it will give his opponents the power he wouldnt wish!!
Mbona mbeya hawakumfanya chochote RPC na RC lakini wakampiga mawe kikwete?Chadema kwa porojo bana, wameshindwa kuwafanya chochote RPC, RC, Rais ndio wataweza
Watu wanapenda kujidagnya bana hivi kweli rais Kikwete hawezi kupita Arusha kisa anawaogopa wana Chadema!
Mbona mbeya hawakumfanya chochote RPC na RC lakini wakampiga mawe kikwete?
Mbona mbeya hawakumfanya chochote RPC na RC lakini wakampiga mawe kikwete?
Ha! Ha! Ha! Mkuu, nimecheka sana, kwa hiyo mvua ndio iliofanya mpaka wakaacha yebo yebo zao uwanjani
Naona watu mnatumia muda wenu mwingi kwenye hii thread kudiscuss kitu ambacho ni senseless