Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

Maiti za watu wa 4 wote wa kiume zimeokotwa sehemu tofauti wilayani Arumeru, inasadikika hao watu wamenyongwa na watu wasiojulikana.

Source StarTv, habari ya saa 2.
 
isije ikawa inahusiana na uchaguzi na mambo ya usaliti.
 
Mh lazma hao watakuwa ni mafisadi tu na visasi vyao
 
hao jamaa inasekana walikuwa majambazi maeneo ya sombetini na ngusero hivyo huenda wameuawa kulipiza kisasi
 
Hivi hizo CNN unazozisema ni zipi au tukuwekee na Video zake kabisa uone.

 
Hivi hizo CNN unazozisema ni zipi au tukuwekee na Video zake kabisa uone.


Mkuu nadhani huwa wanaweka na onyo kwa wasomaji kuwa picha/video fulani ina graphic contents hivyo uchaguzi unakuwa wa msomaji. Kuweka open kama ilivyokuwa ilivyoweka hapa haikubaliki na moja kati ya maadili ya uandishi. Tusiingilie mambo kichwa kichwa.
 

Kwa kweli naomba MOD apigevita hii tabia ya kuandikia kalam nyekundu, mi sija wahi ona hii kitu mahali popote. But picha za maiti ni muhimu zitangazwe kwa uhakiki. Kwani wewe hukuona picha za Osama, yonas savimbi, uda&qusai?!. Usiogope maiti kwani hata wewe kesho utakuwa maiti. Ciao.
 

wewe ndo limbikeni wa techno, kwani wewe una umri gani hata hujawahi kuona picha za maiti kwenye media kama bbc , cnn na ljaazira?, juzi picha ya qadaf imeoneshwa toka wakati anasokomezwa vijiti na visu matakano mpaka wakati ameandaliwa kwa mazishi, hivi hata picha ya maiti ya osama na ndugu zake hukuziona?, ya savimbi je?, hata picha za watoto wa sadam husein-qusai na udah hukuziona?, tafuta hata humu jf bado zipo na ukome kuzisemea media na hata JF.
 
Siyo vizuri kuzisemea int media kama cnn na bbc, nijuavyo wao huwa wa kwanza kuonesha picha kwa uhakiki . Hapo ndo tunapata kudhibitisha kuwa osama, qadafi, sadam, qusai, udah na yonas savimbi wamefariki. Tuache ushabiki. Kuonesha picha za mrehemu kama hawa vijana wa arumeru kunasadia kuharakisha utambuzi. Hakuna tatizo.
 

Acheni kujua sana nyie.........

huyu mlimtendea haki?? si mliweka wenyewe hapa!



 
Si vizuri wala busara kuingiza tetesi kwenye suala la mauaji!!! Generally speaking, over 50% ya tetsi zinakuwa uongo!
Mimi nilifikilia ni 100% huwa ni uongo kumbe ni 50% nitaendela kuzi heshimu tetesi....
 
yawezekana kama yale ya Igunga. Jamaa ndo wameachiwa toka kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…