MODS hizi picha tafadhali.Sidhani kama ni sahii kuwa kubandikwa hapa kwa hali hiyo
Jamani mbona haya tena serikali haijarudi likizo
kuna taarifa zinasema watatu kati ya hawa vijana ni wakazi wa sombetini na wameshatambuliwa na ndugu zao, wametambulika kama ni dreva TOYO wa huko sombetini.
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.Kuna tetesi ya kuwa mauwaji hayo yana weza kuhusishwa na vurugu za za juzi za kugombea mashamba.....
kuna taarifa zinasema watatu kati ya hawa vijana ni wakazi wa sombetini na wameshatambuliwa na ndugu zao, wametambulika kama ni dreva TOYO wa huko sombetini.
Madhara yake ni yapi?....halafu koma kuwasemamea wana-JF pumbavu mkubwa wewe unajidai unajua haki za binadamu jitokeze kuzitetea siyo hapa tu JF...Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.
Wewe huwezi kuona madhara yake kwa sababu ubongo wako haujazi hata kifuniko cha bia. Na ungekuwa unayajua hata kwa uchache usingezi-upload. Kweli technologia kwenye mikono ya mjinga ni sawa na sumu. Umekimbilia kuziweka ukifikiria utasifiwa na kuambiwa umetenda jambo la maana. Kwenye websites za wenye akili kama cnn na bbc ulishaona ujinga unaoutetea wewe? Unafikiria wao hawana kamera za kupiga picha au hawana ujuzi wa kuziweka?Madhara yake ni yapi?....halafu koma kuwasemamea wana-JF pumbavu mkubwa wewe unajidai unajua haki za binadamu jitokeze kuzitetea siyo hapa tu JF...
RPC wa Mkoa wa Arusha aliwataka wakazi wa Arusha na mikoa jirani kufika mmt Meru kwenda kuangalia miili ya vijana hao...je alikuwa anaimanisha kwenda kuangalia machungwa? Je ni watu wana namna gani walio paswa kuwaangalia marehemu kama mimi nimewadhalilisha basi serikali itakuwa imefanya nini?...ni heri mimi mwenye akili ambayo haijai hata kifuniko kuliko wewe ulie jaza makamasi huko kichwani....Wewe huwezi kuona madhara yake kwa sababu ubongo wako haujazi hata kifuniko cha bia. Na ungekuwa unayajua hata kwa uchache usingezi-upload. Kweli technologia kwenye mikono ya mjinga ni sawa na sumu. Umekimbilia kuziweka ukifikiria utasifiwa na kuambiwa umetenda jambo la maana. Kwenye websites za wenye akili kama cnn na bbc ulishaona ujinga unaoutetea wewe? Unafikiria wao hawana kamera za kupiga picha au hawana ujuzi wa kuziweka?
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.
Wewe huwezi kuona madhara yake kwa sababu ubongo wako haujazi hata kifuniko cha bia. Na ungekuwa unayajua hata kwa uchache usingezi-upload. Kweli technologia kwenye mikono ya mjinga ni sawa na sumu. Umekimbilia kuziweka ukifikiria utasifiwa na kuambiwa umetenda jambo la maana. Kwenye websites za wenye akili kama cnn na bbc ulishaona ujinga unaoutetea wewe? Unafikiria wao hawana kamera za kupiga picha au hawana ujuzi wa kuziweka?
Mimi bado nasisitiza umefanya kosa kubwa kabisa kuziweka na unakuwa mkali kwa sababu hujui madhara yake. Na si wewe tu ila hii ni tabia iliyozoeleka Tanzania, watu kuwa na ''hamu'' ya kuangalia picha za graphic kama hizi. Kama kuna shida ya kuwatambua kuna njia za kufanya na sio kupost kwenye internet. Tafadhali jaribu kuulizia ulilimishwe na sio kubisha vitu ambavyo viko wazi.RPC wa Mkoa wa Arusha aliwataka wakazi wa Arusha na mikoa jirani kufika mmt Meru kwenda kuangalia miili ya vijana hao...je alikuwa anaimanisha kwenda kuangalia machungwa? Je ni watu wana namna gani walio paswa kuwaangalia marehemu kama mimi nimewadhalilisha basi serikali itakuwa imefanya nini?...ni heri mimi mwenye akili ambayo haijai hata kifuniko kuliko wewe ulie jaza makamasi huko kichwani....
Maendeleo ya CCM ndiyo hayo, Naomba sana Watanzania wa kawaida tunaowatumikia hawa walowezi tusikubali kila tunachoambiwa Kutekeleza.
Mimi bado nasisitiza umefanya kosa kubwa kabisa kuziweka na unakuwa mkali kwa sababu hujui madhara yake. Na si wewe tu ila hii ni tabia iliyozoeleka Tanzania, watu kuwa na ''hamu'' ya kuangalia picha za graphic kama hizi. Kama kuna shida ya kuwatambua kuna njia za kufanya na sio kupost kwenye internet. Tafadhali jaribu kuulizia ulilimishwe na sio kubisha vitu ambavyo viko wazi.
Mawazo yako yana-reflect ulivyo na imani za karne kumi zilizopita.... Uchawi... wanga ... kanichukulia nyota yangu.... amka jamaa!Jamaa wangu wewe mchawi!!!! au tahira kama sikosei, jamaa amefanya kitu kuweza kufikisha ujumbe kwa wale ambao hatupo mtaani, alafu wewe kama, vile unaloga watu unamlaumu, kama wewe uwezi angalia marehemu, ngojea usiku wa manane ufike ukawange. ukome kuja kushika nyota zetu!!!
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.