kuna taarifa zinasema watatu kati ya hawa vijana ni wakazi wa sombetini na wameshatambuliwa na ndugu zao, wametambulika kama ni dreva TOYO wa huko sombetini.
Polisi waingie kazini mara moja watafute chanzo cha mauaji hayo!...na hatimaye haki itendeke!
Marehemu wapumzike kwa amani!
Polisi waingie kazini mara moja watafute chanzo cha mauaji hayo!...na hatimaye haki itendeke!
Marehemu wapumzike kwa amani!
Jamani, watu 5 wauwawe bila kujulikana chanzo hata tetesi!? Nnamashaka sana