Arumeru..toeni tafsiri ya neno fujo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru..toeni tafsiri ya neno fujo

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mchambuzixx, Mar 28, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hivi najiuliza naskia kuna watu wamekamatwa kisa kuonyesha alama flan kwenye mkutano wa magamba.....cha kujiuliza hapa ni kama wewe unajua waliohudhuria wote ni wanachama wako au wapenzi unawaulizia nini watakaompigia kura flan waonyeshe mikono juuu..ni kwasababu wanaohudhuria mikutano ni wapenzi wa vyama vyote na ndo maana hata kwenye mikutano ya chadema huwa pia wanauliza na mwitiko hua mkubwa sasa hawa magamba kama nyie mna uhakika kuwa wote ni wanachama wenu kwanini mnauliza..wengine wakinyoosha alama ya v mnawakamata mbona kwa chadema huwa hawashikwi wanachama wa vyama vingine na wanakuwepo....sababu nii hii siku hizi ukiwa ccm ni aibu na nafsi yako inakusuta na ndo mana huwa wanajificha hata wakiulizwa kwenye mikutano ya chadema kwamba watakaompigia sioi waonyeshe mikono hakuna atakaejitokeza lakini magamba huwa wanauliza wakiona mikono ya v ni mingi tayari wanasingizia fujo jamani mkomae kisiasa mna miaka 50 lakini bado sana na tumeshagundua mbinu zenu mnauliza ili mkamate watu tumestuka tumeshawaambia wapenzi wetu watulie au wasiende kabisa kwenye mikutano yenu
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Msiende huko, hao jamaa si wema kabisa watawaumiza ile mbaya.
   
Loading...