Arumeru Magharibi kwachafuka...

Arumeru Magharibi kwachafuka...

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
[h=5] Arumeru Magharibi kwa chafuku Chadema wavamia ccm yataharuki niko hapa mkutanoni ni balaha WAtu ni wengi kama mnavyo juwa arumeru inaongozwa na magamba Leo wananchi wamejitokeza wanarudisha kadi na kukabidhiwa za CDM kiukweli Lema Joshua Nasary bado hawajawasili ila magamba yanavuliwa mbaya HAKUNA KULALA HADI WALALE WAO

[/h]http://www.facebook.com/groups/tanurulafikra/#
 
poa sana Cdm ndo habari ya kisasa peoplez!
 
[h=5] Arumeru Magharibi kwa chafuku Chadema wavamia ccm yataharuki niko hapa mkutanoni ni balaha WAtu ni wengi kama mnavyo juwa arumeru inaongozwa na magamba Leo wananchi wamejitokeza wanarudisha kadi na kukabidhiwa za CDM kiukweli Lema Joshua Nasary bado hawajawasili ila magamba yanavuliwa mbaya HAKUNA KULALA HADI WALALE WAO

[/h]http://www.facebook.com/groups/tanurulafikra/#

Leo tutumie maneno haya Kwachafuka, balaa
 
Mkuu picha inaongea maneneo 1000 zaidi kuliko wewe, ni wakati wa dijitali huu, weka picha ikusaidie kuongea.
 
Kwa jinsi ninavyoifahamu cdm sihitaji hata picha hii kazi ya utomaso nawaachia wengine
 
Taarifa haijatulia, inahitaji support kubwa ya picha kuthibitisha machafuko hayo kwa magamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom