Arumeru Magharibi kwachafuka...

Arumeru Magharibi kwachafuka...

Arumeru ipi hiyo mkutano unapofanyika mbona nimejaribu kuuliza wenyeji wa huku hawajui hii?
 
Poa Mkuu naona habari ya Mujini imewasili hapo.pamoja sana.....
 
Kama silaa kubaki na kadi sio kitu kigeni kwani mie nilipoanza secondary Bwiru boys nilipewa kitambulisho cha shule nilipomaliza kitambulisho nilibaki nacho mpaka hii leo,je mie ni mwanafunzi wa Bwiru?silaa alikuwa mwanachama wa CCM lakini alipoama chama akabaki na card kama kumbukumbu,na akihama CHADEMA pia kadi ataendelea kuwa nayo kama kumbukumbu.msomi yeyote awezi kutupa kumbukumbu kienyeji hivyo.
 
Mkutano ni hapa kata ya kiranyi jumbo la Arumeru Magharibi picha nitawarushia muda huu kiukweli huku ni maziko rasimi ya ccm
 
Mkutano ni hapa kata ya kiranyi jumbo la Arumeru Magharibi picha nitawarushia muda huu kiukweli huku ni maziko rasimi ya ccm
Mchana huu nilitoka sakina nilikutana na magari yana bendera za Chadema sikujua yanaenda wapi kumbe yalikuwa yaenda Kiranyi.
 
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss.......................................................poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Wakuu picha nawakea ni balsa ndio dogo Janja kawasili kumechafuka wenyeviti wa vitongoji waccm wachafuka wareja na kuvikwa sasa anee ongea ni mwenyekiti wa vijana Arusha mjini anakamu Kwenye jukwa sasa ni kwereeeeeeeee hukeuuuu
 
weka picha mkuu maana ukitafuta litomaso lililobaki duniani basi ni mimi.... pipooooooooooooz
 
CHADEMA ninavyoipenda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu picha nawakea ni bala ndio dogo Janja kawasili kumechafuka wenyeviti wa vitongoji waccm wachafukwa na roho warejasha na kuvikwa sasa anee ongea ni mwenyekiti wa vijana Arusha mjini anakamu Kwenye jukwa sasa ni kwereeeeeeeee huk
 
Chadema ndio chama kwa Bongo hakuna kingine hiki ndio chama cha wanyonge na wote waliobakia
 
Wangemwita na Slaa na yeye arudishe kadi ya CCM.

Yaani! Hatamimi nashangaa kama kurudisha kadi ni nikitu cha maana kweli! Na slaa nagelisha rudisha.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Sasa ni dogo Janja a.k.a J.Nasary anawasha moto kiukweli kwa Leo jumapili imekuwa njema sana Leo dogo ndio kwanza anawasha moto heraaaaaaaaaaaaaaaa
 
[h=5] Arumeru Magharibi kwa chafuku Chadema wavamia ccm yataharuki niko hapa mkutanoni ni balaha WAtu ni wengi kama mnavyo juwa arumeru inaongozwa na magamba Leo wananchi wamejitokeza wanarudisha kadi na kukabidhiwa za CDM kiukweli Lema Joshua Nasary bado hawajawasili ila magamba yanavuliwa mbaya HAKUNA KULALA HADI WALALE WAO

[/h]http://www.facebook.com/groups/tanurulafikra/#

nape atakuja na uharo kama kawaida "hiyo ni oil chafu","malaya ni malaya hata kama akibadilisha vazi"
 
nape atakuja na uharo kama kawaida "hiyo ni oil chafu","malaya ni malaya hata kama akibadilisha vazi"

Nape anajifanya Gadaffi.............. eti atapambana mpaka yeye mwenyewe kwenye chama ndo atahamia chadema
 
Kumbe Arusha kuna sehemu bado ccm imebaki oops!
 
Imma Saro; Mkuu hebu tujuze kwa uhakika mambo yalivyokuwa hapo Ilkiurei palikofanyika mkutano kwani nimeshindwa kufika Kamanda wangu!!!!

[h=5] Arumeru Magharibi kwa chafuku Chadema wavamia ccm yataharuki niko hapa mkutanoni ni balaha WAtu ni wengi kama mnavyo juwa arumeru inaongozwa na magamba Leo wananchi wamejitokeza wanarudisha kadi na kukabidhiwa za CDM kiukweli Lema Joshua Nasary bado hawajawasili ila magamba yanavuliwa mbaya HAKUNA KULALA HADI WALALE WAO

[/h]http://www.facebook.com/groups/tanurulafikra/#
 
Last edited by a moderator:
manuu; Ni huku anakoongoza yule naibu waziri wa ardhi nyumba yule anayeenda kwa jona la Ole Medeye ni Mbunge ambaye ni mzigo tupu kwa wananchi wake.........hasara tupu kumpa kura MB kama huyu!!!!!

Arumeru ipi hiyo mkutano unapofanyika mbona nimejaribu kuuliza wenyeji wa huku hawajui hii?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom