Arumeru: Jerry Muro awaambia wananchi kama hawataki kufuata sheria na kanuni za nchi basi wahame nchi

Mapema Mno Kutoa Kauli Hizo
Binadam Wote Ni Ndugu Na Africa Ni Moja
Hiyo Ni Ahadi Ya Mwana Tanu
 
Mkuu kuna lugha ya dhihaka, inaweza kukufunga pia. Yale yale ya mwandishi wa habari hajavaa beji kifuani halafu anapandishiana na mapolisi, wanakubutua tu, mpaka video clip ikifika facebook na kutazamwa na kila mtu wewe unakuwa hospitali ukiuguza makovu.
Unaona sifa polisi kubutua mwananchi usijue kuwa hiyo ni primitive lifestyle, tofauti yake na wanyama wa porini wasiostaarabika ipo wapi hapo
 
Kama inshu ni kufuata sheria, basi ma ccm yote yahame nchi. wao ndiyo wanaongoza kwa kukiuka sheria za nchi wakiongozwa na jiwe!
 
Unaona sifa polisi kubutua mwananchi usijue kuwa hiyo ni primitive lifestyle, tofauti yake na wanyama wa porini wasiostaarabika ipo wapi hapo
Sio kuona sifa, kama unayo Beji ya mwandishi kifuani kwanini polisi akupige?. Kujielewa ni muhimu kwetu sisi sote.
 
Jerry Murro kuwa DC ni matusi makubwa sana kwa cheo cha DC , ni kushusha thamani U DC kwa kiwango cha kutisha mno ! Namfahamu Jerry Muro hana hadhi hata ya kuwa katibu wa kijiji

Tangia lini U DC ukawa na thamani nachokijua DC yupo kwa ajiri ya kutetea chama tu ndo maana nchi nyingine hazina DC
 
Hahaha hao ndio wameru bwana! "Labda uje na Magufuli" . Jerry anatakiwa awe na hekima, atalilipua sasa hivi....
 
mtoto anaiga kwa baba. et naye anasema msinijaribu!!! uongozi huuu hasara tupu kwa taifa
 
Nimeona clip inayosambaa mtandaoni ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru akielekeza polisi kumkamata mwananchi huku akidai “Kama mmeshindwa kuishi kwenye hii nchi katafuteni nchi nyingine.”

Huu siyo uongozi bali ni udikteta uliopitiliza. Ukiona viongozi wananchi kutamka nchi yangu, serikali yangu, mtanyooka, katafuteni nchi nyingine ya kuishi nk tambua hana maono wala malengo anayopanga kufikia.

Suala analozungumzia la upimaji wa ardhi si suala la kulazimisha ni suala la kisheria na linapaswa kuendeshwa kwa majadiliano na ukilazimisha utawanya watu wanyamaze kwa sababu ya nafisi yako na matumizi ya vyombo vya dola ila ukiondoka au dola ikiondkka mgogoro utakaozaliwa hautasuluishika kirais.

Nakumbuka Mhe. Lukuvi alipita huko Arusha akazungumza na wananchi maeneo mbalimbali na hakukuwepo na ukinzani anaopata Muro, hivyo inaleta tafsiri kuwa yeye anatafuta sifa kwenye kamera bila kuwa na maono.

Usipobadilika utajikuta unawagawa wananchi Kama kiongozi badala ya kuwaunganisha...

Mbona hukuandika sababu za yeye kusema hayo? taarifa yako imejaa chuki ni ya upande mmoja.
 
Wewe ndiyo unakurupuka!unajifanya unajua kumbe Pumba.Kazi yenu ni kuona kibazi kwenye jicho la mtu mwingine kumbe mna maboriti.
Sishangai kusikia Mengi kutoka kwako na kwa rafiki zako kwa sababu ya nongwa zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio umejibu nini?mm nmekuelewesha kiongozi ni kwa ajili ya kuwatumikia wananchi na siyo kumtumikia aliyekuteuwa alaf ww unaleta vioja. Wapi mm nimeleta nongwa,shambulia hoja yangu usipambane na mm.Ila Kukaa kimya kunaficha upumbavu wako. ungekaa kimya ukahesabiwa busara japo huna.
 
Back
Top Bottom