Mkuu Artificial intelligence ni tawa la(branch of) computer science, linahusika na kutengeneza au kufanya mashine au software kufanya mahamuzi(decision)....
Mfano1: ku-programu robots kufanya kazi kama kupika, kuchambua dagaa, kipokea &kuelekeza wageni haza mahotelini kwa nchi zilizo endelea
Mfano2: computer games, unaweza cheza gemu kama draft, mpila & mission game wewe & computer kwa ushindani wa hali ya juu....... hapo computer inaweza fanya mahamuzi yeyote kutokana na mpinzani wake...
Mfano3: zipo machine zinauwezo wa kutambua wewe n njinsia gani kwa kusikia sauti yako, umri wako nk..... hivyo n vichache sana kuhusu artificail intelligence
Mfano4; inatumika kwenye mageri au vyombo vya usafiri kujuendesha pasipo ya dereva.... huwezi kuta gari limepata ajari wala kugongana
Ntarudi baadae kidogo......