Ni matumain yangu wanaJF watasogea kuja kukupa pole maana unatoa mchango mkubwa humu maana kwa mambo kama haya watanzania bila kujali itikadi zetu huwa wamoja
Ni matumain yangu wanaFJ watasogea kuja kukupa pole maana unatoa mchango mkubwa humu maana kwa mambo kama haya watanzania bila kujali itikadi zetu huwa wamoja
Maccm yangelitambua ilo tusingewaona na kiburi, majivuno na tambo zisizo na mashiko. Utafikiri Guadalajara!...hayo mabilioni wanajilimbikizia ili iweje.
Aisee mimi pia nimepata shida kwenye hilo maana ametajwa kama mtu muhimu kwenye Kesi ya Richmond na ilikuwa ni mtu ambaye angeweza kutoa information ambazo zingeweka wazi baadhi ya mambo!
Kwa hili kwa kwelu ni vema tukawekwa wazi juu ya kifo chake isije kuwa ni kupoteza ushahidi!
Biblia imeandika hakika mtakufa hili ni agizo la mungu mwenyewe. Usijifanye wewe utaishi milele yote. Hamna aliye mwema duniani lakini kazi ya kuukumu ni ya mungu mwenyewe. Mrudie mungu wako. R.I.P Mwakapugi.