Arsena'ne kapigwa tena

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,554
Reaction score
7,993
Kudadadeki,wenga wa kutimua kiukweli sasa,amewarudisha tena mkiani. Teh tee e he.
 
Kudadadeki,wenga wa kutimua kiukweli sasa,amewarudisha tena mkiani. Teh tee e he.

timu bovu sana, defence ndio wala usiseme inatema kama pipi. Mtashuka daraja mwaka huu
 
Kuna timu ya mpira wa miguu na mpira wa kikapu,kwa sasa arsenal ni timu ya mpira wa kikapu! Watajibeba mwaka huu.
 
I 8-2 be an arsenal fan 4-3 weeks!
 
Wenger mwanaume! Japo 8 lakini hakutetemeka kama Fagie, alichofanya alipeleka malalamishi kwa PEP na ameahidiwa kuwa yule kiongozi wa SHETANI msimu huu lazima ahare uwanjani maana hatopata mda wa kukimbilia toilet kama ilivyokuwa msimu ulopita!!!
 
<font size="3">last match na swansea walivoshinda walisema ndo wameanza ligi ssa leo walivopigwa na blackburn sijui ligi ndo imeisha?</font>
<br />
<br />

Hahahahaha labda cd imestuck ngoja tusubiri next track
 
<div style="text-align: center;"><b><font size="4">I 8-2 be an arsenal fan 4-3 weeks!</font></b></div>
<br />
>
Very creative mkuu I like this. Let me guess what you wrote: I hate to be an arsenal fan for three weeks hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…