Ni utani tu, usinune ndugu yangu. Hebu angalia hiyo attachment, ujiliwaze!
haya ujiandae asje akakufanya kama cha kwenye hiyo picha.....................maana umeingia ulingoni na ngumi huziwezikuna mtu ati anadai kuna kitu namtafuta coz ya hii picha! naogopa hata kukutana naye maana sio mtu wa utani kabisa na huenda ana maanisha kweli kwa hiyo kauli yake!