Arsenal vs. Chelsea: Time, Live Stream links

Arsenal vs. Chelsea: Time, Live Stream links

Nisaidien waungwana ili niweze kulala kwa raha,maana tofauti na hapo usingiz hautakuja.
 
Lala tu alaf amka saa 12:30 matokeo yatakuwa tayar mda bado
 
Our team to face Arsenal tonight
(4-2-3-1): Cech; Ivanovic, Cahill, Terry
(c), Azpilicueta; Mikel, Lampard;
Ramires, Willian, Hazard; Torres.
Subs: Schwarzer, David Luiz, Cole,
Oscar, Mata, Schurrle, Eto'o.
Full team news to come...
 
wachezaji hata hawajaingia uwanjani mkuu,.
 
Kikosi ichooo
 

Attachments

  • 1387827236971.jpg
    1387827236971.jpg
    68.9 KB · Views: 60
Unaonekana unakipresha kwa mbaaaali ucjali kaka mtakua number 4 sisi tukiongoza kama kawaida

Mwanangu mi niko kawaida kabisa!

Ila Kwa kikosi alichopanga Mourinho lazima tushinde!
 
Back
Top Bottom