Arsenal vs. Chelsea: Time, Live Stream links

Arsenal vs. Chelsea: Time, Live Stream links

Maadui wengi ndio mafanikio, chelsea, man u, liver, man city, spurs, spmton, zooooote zinaombea arsenal ifungwe hahaha subiri ww utackia oziiiiiil

Tena iwe mwanzo na mwisho kusikia mnamtaja Ozil..!

Etihad Ozil aliwasaidia nini? Sasa na Leo namkabizi Ramires ahakikishe Huyo ambae imekua Kero mitaani Kwa kumtaja Eti Ozil.....!
 
Tena iwe mwanzo na mwisho kusikia mnamtaja Ozil..!

Etihad Ozil aliwasaidia nini? Sasa na Leo namkabizi Ramires ahakikishe Huyo ambae imekua Kero mitaani Kwa kumtaja Eti Ozil.....!

Pole kaka ila arsenal inajua sna...keep it in your mind 3 - 1
 
Mwenyezi Mungu ajalie ushindo mnono timu yangu ya washika mtutu
 
Jose Mourinho :: Keeping Ozil quiet will be
impossible for Chelsea, admits
Mourinho
The Portuguese managed the
Germany international for three
seasons at Real Madrid and says
his players will never fully keep the
Arsenal man under control during
Monday's clash
 
Ushakula? Uckae na njaa utashindwa kula baadae

Mkuu Yani Saizi Ndo nimemaliza kula niko fresh na sim yng iko na chaji ya kutosha Niko tayari kuwakabili gunners kivyovyot!
Tulia Mkuu uone!
 
anywe na maji kabisa, asije akazimia hospital wakanza kuangaika kumwekea maji.

We ALEYN? ntakugeuza MSUKULE?!
Hujui Mimi niko gamboshi!

Leo Chelsea lazima iwapige Hawa watoto!
 
Hahahha sawa mkuu

Yani hapa Mtakimbia'!

Niwambia mpaka January mtakua nafasi ya 3 Au 4 na sasa yameanza kutimia mko nafasi ya 3 Leo na nikiwapiga mnazidi kupolomoka huko nafasi ya 4
 
Yani hapa Mtakimbia'!

Niwambia mpaka January mtakua nafasi ya 3 Au 4 na sasa yameanza kutimia mko nafasi ya 3 Leo na nikiwapiga mnazidi kupolomoka huko nafasi ya 4

Mkuu hayo mahesabu hakuna
 
CFC XI to face Arsenal: Cech,
Ivanovic, Cahill, Terry (c),
Azpilicueta, Mikel, Lampard,
Ramires, Willian, Hazard & Torres
 
Arsenal starting line up: Szczęsny;
Sagna, Mertesacker, Vermaelen,
Gibbs; Arteta, Rosický, Ramsey; Özil,
Walcott; Giroud.
 
Nahisi mimba kama s safari kwa morinyo
 
Back
Top Bottom