Aya arsenal Hao nafasi ya pili
Droo imekuwa njema kwa LFC...
Na chelsea yangapi?
Ya nne lkn kwenu ndio mbaya mlikua mnaongoza na saiz Mmeanza kushuka
Droo imekuwa njema kwa LFC...
Nani kakudanganya? Nyinyi mnaelekea mechi ngumu zote sisi tunashuka tu....na hamtufkii tena