Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 73
naona maurinho yuko ka kabanwa na gogo
Mkuu angalia mafundi wa arsenal
Walcot atawaliza mkuuYani Mkuu Kwa kikosi changu na walio bench lazima nikupige
Nisaidien waungwana ili niweze kulala kwa raha,maana tofauti na hapo usingiz hautakuja.
Walcot atawaliza mkuu
Leo asernal asipokalia Chuma cha moto Sio sisi the blues
Walcott hana mzara Leo!
Walcott hana mzara Leo!
chelsea ikitufunga leo naomba nipigwe BAN ya wiki nzima
Washakubalii chelsea.,,leo wakwetu