Ball Possession
Arsenal 35 - Bayern 65.
jina kama la yule anayecheza filamu!Mfungaji wa Bayern ni Tom Kroos.
Naona Bayern wanajaribu kutumia Strategy ya Barca kwenye kufunga.
Arsenal 0 - Bayern 1.
jina kama la yule anayecheza filamu!
wanapanua wings za Arsenal, afu wanatumalizia kati kati
Hii ligi ina wenyewe
Pole sana. Wengine sisi ni mashabiki wa mpira wewe shabiki wa timu utaumia.
Hii ligi ina wenyewe
Ndo kina sisi