Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Koskenly anataka kutucost leo! Naona kidogo angemzawadia Ngog goli kwa mara ya pili!!

Mkuu team hamna hapo mpira umekuwa wa baridi sana...hauna hata radha ya kuangalia
 
Koskenly anataka kutucost leo! Naona kidogo angemzawadia Ngog goli kwa mara ya pili!!

Huyu nimeshaona atakuja kufanya mistake tu na hilo ndio litakuwa goli la ushindi
 
yaani malengo ya baadhi ya wachezaji wa arsenal wanapokuwa uwanjani hayana tofauti na malengo ya club kwa ujumla,they r not serious enough
 
Tunamhitaji uncle Tom, huyu ramsey hajui anachokifanya!!

rosick ndio mtu anayeweza kumsaidia rvp pale mbele ila kwa huyu dogo(ramsey) hamna kitu,na wenger sijui ana ajenda gani na huyu mtoto
 
yaani malengo ya baadhi ya wachezaji wa arsenal wanapokuwa uwanjani hayana tofauti na malengo ya club kwa ujumla,they r not serious enough

Wachezaji wetu si wanajua hamna mtu wa kuwa challenge kwenye bench ndio maana wengi wako relaxed uwanjani. Wanajua vyovyote wachezavyo mechi inayokuja namba wanapata.
 
Yaani hii 2nd half ndo upupu mtupu so far....... Hakuna moves za goli hata moja....
 
AW hachokia na Mrusi ARSHAVIN namuona anapasha.....
 
RAMSEY ana akili finyu hakuna mfano..... Sa pale kafanya nini sijui
 
Hivi akitoka Walcot au Ramsey kuna ubaya gani na kumuacha huyu dogo ambae anaweza kuwavuta mabeki na kufungua nafasi zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…