HENRY14 JF-Expert Member Joined May 13, 2021 Posts 3,721 Reaction score 7,290 52 minutes ago #174,421 fuentte said: Mjinga una roho mbaya sio poa Click to expand... Mkuu mbona mimi nipo wazi kabisa kuwa nawaombea mema matupu? Si unaona kabisa nawaombea mbaki EPL?
fuentte said: Mjinga una roho mbaya sio poa Click to expand... Mkuu mbona mimi nipo wazi kabisa kuwa nawaombea mema matupu? Si unaona kabisa nawaombea mbaki EPL?
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,263 Reaction score 79,622 51 minutes ago #174,422 Kenge linapakatwa
fuentte JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 3,532 Reaction score 10,200 51 minutes ago #174,423 HENRY14 said: Mkuu mbona mimi nipo wazi kabisa kuwa nawaombea mema matupu? Si unaona kabisa nawaombea mbaki EPL? Click to expand... Tubaki wakati tunataabika, ni heri utuombee tushuke tukajipange upya uko championship
HENRY14 said: Mkuu mbona mimi nipo wazi kabisa kuwa nawaombea mema matupu? Si unaona kabisa nawaombea mbaki EPL? Click to expand... Tubaki wakati tunataabika, ni heri utuombee tushuke tukajipange upya uko championship
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,263 Reaction score 79,622 49 minutes ago #174,424 Wachezaji wa south America mbona wameamua kujipatia red hizi wiki
HENRY14 JF-Expert Member Joined May 13, 2021 Posts 3,721 Reaction score 7,290 38 minutes ago #174,425 fuentte said: Tubaki wakati tunataabika, ni heri utuombee tushuke tukajipange upya uko championship Click to expand... Hapana bro. Tunataka tuwe tunaendelea kuchukua points kwenu. Kwanza sisi tunausongo wa kumpiga Carrick kinoma.
fuentte said: Tubaki wakati tunataabika, ni heri utuombee tushuke tukajipange upya uko championship Click to expand... Hapana bro. Tunataka tuwe tunaendelea kuchukua points kwenu. Kwanza sisi tunausongo wa kumpiga Carrick kinoma.