Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi naona Tzolis kule LW ni mtu sahihi. Anahitaji challenge tu ili azidi kuimprove.
Japo hajafikia peak yake ana nafasi ya kuboresha kiwango, ila sio wa ubora uleee, kwa timu ya sasa tunahitaji ubora walau wa alexis sanchez hivi.. huenda atakuja kufikia huko, lakink kwa sasa bado, na anahitaji mshindani.
 
Striker sio lazima afunge sana, ni ana mchango gani na matokeo.. yule bobby firmino haluwa mfungaji sana lakini mchango wake unajulikana.

Ukiachana na suala la winger na striker,Mimi siku zote nalia na namba 10 ambaye ni technically gifted.

Hawa low blocks and midblocks team unahitaji namba 10 ambaye ni technically gifted ili kuwa unlock
 
Kudus maji kupwa maji kujaa hana muendelezo
 
Kudus maji kupwa maji kujaa hana muendelezo
Basi game nilizo muona mimi alikuwa kwenye ubora wake, kama ni homa ya vipindi hafai, ila nahisi na majeruhi yanamharibu, kuna game niliona anachezeshwa LW nikasema huyu kocha timamu kweli alimnyima uhuru akawa anaruka ruka tu uwanjani
 
Ukiachana na suala la winger na striker,Mimi siku zote nalia na namba 10 ambaye ni technically gifted.

Hawa low blocks and midblocks team unahitaji namba 10 ambaye ni technically gifted ili kuwa unlock
Odegaard nae jau sana, anaupaka paka mpira rangi mnoooo...
Arsenal wenye quality ya kucheza kikosi cha kwanza pale unaanzia kwa raya unaishia kwa rice... huku mbele wote ni homa ya vipindi
 
Hata Haaland ukimleta Arsenal kwa mfumo wa Arteta atecheza kama Gyoceres.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…