Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eh umeanza matusi tena.

Mi nakuacha mzee, tufanye mambo mengine
 
Wewe unavyohisi mtu hadi anafika 18 anakua regular haitokani na kwamba amegewa time kidogo kidogo kabla hajawa 18?
Hiyo kidogo kidogo unayosema ww aliyopewa Dowman haitoshi kumfanya aanze above seniors km Eze/Madueke.
 
Mi nimekuita kichogo unasema nimekutusi.. halafu wewe unamuita mwenzio pimbi..

Acha ujanja ujanja, usibwabwaje tu leta hoja za mpira.
Mimi na mashabiki wa chelsea na united kuitana hivyo ni kawaida kwakua ni sehemu ya banter. Huna haja ya kujifananisha na Hziyech22 Mkohoti ARV na wenzao.

Ila kama unaona mimi na wewe tutaelewana zaidi tukiandika matusi sema
 
Hakuna tusi hapo acha kukimbia, jibu maswali hayo km ulivyokua ukiulizwa ukajibiwa.
Hakuna hoja ya mpira inayoweza kunikimbiza. Kikubwa anayejadili awe na yeye ni muangaliaji wa mechi asiwe msoma statistics
 
Hiyo kidogo kidogo unayosema ww aliyopewa Dowman haitoshi kumfanya aanze above seniors km Eze/Madueke.
Ikifika December 31 Dowman atakua na miaka 17.

Kwenye supercup ya mwaka huu mechi ya PSG vs Villa, Villa ilimpanga striker wao mpya, Brian Madjo, Madjo ana miaka 17.

Akascore dakika ya 45. Kwenye benchi alikuepo Abraham, Emery alikua mjinga?

Against PSG, Emery anaanzisha ST wa miaka 17. ST ambaye amecheza mechi hazijazidi 10.

Wewe hapa unaleta maoni yako ya makocha wa simba na yanga
 
Hakuna hoja ya mpira inayoweza kunikimbiza. Kikubwa anayejadili awe na yeye ni muangaliaji wa mechi asiwe msoma statistics
Kwahiyo mimi ni msoma statistics? Wewe ndie unaeangalia mpira πŸ˜ƒ.. haya tutaona ila naomba tu urudi kwenye mada acha kurukaruka.

Wewe mtu na akili zako timamu kabisa, senior player kaumia dk ya 10 ya mchezo, unataka aingie prospect wakati senior replacements wake wapo.. ili aka prove nini?
Jibu hilo swali nione ufahamu wako wa mambo ulioupata huko mitandaoni na uzoefu wa kuangalia mechi nyingi ulionao.
 
Fanya research zako vizuri acha kukurupuka.. huyo Madjo hakuanza kwa bahati mbaya au gamble km akili yako inavyokutuma.. alicheza mechi 4 za pre season chini ya Emery, akafunga goli 4.
Wakati huo Watkins yupo mapumziko baada ya world cup, na Tammy alitoka kwenye jeraha la bega.

Kwa uwezo wako unaweza kufananisha scenario hiyo na ya jana?
 
Ila wewe jamaa ni miyeyusho.

Hebu tafuta vizuri swala la Madjo.

Kwamba Tammy alikua majeruhi ila kwenye lineup alikuwepo na akaingia dk ya 71? Interesting
 
Senior replacement. Nini hichi unaandika? Wewe nani aliyekuambia Eze ni replacement ya wing?

Unahisi anawekwa kule pembeni kwakua benchi linaenjoy akikaa kule?

Aliyekuambia Madueke ni replacement ya LW nani?

Unafikiria kwa kutumia nini?
 
Nachojua mm Lamine yamal kaanza kucheza mechi kubwa kubwa na kufanya impact akiwa na miaka 16. Dowman anajua apewe nafasi na aaminiwe
 
Ila wewe jamaa ni miyeyusho.

Hebu tafuta vizuri swala la Madjo.

Kwamba Tammy alikua majeruhi ila kwenye lineup alikuwepo na akaingia dk ya 71? Interesting
Alitoka kwenye majeraha, tuliza akili soma vizuri acha wenge. Unaweza ukawa kwenye benchi lakini usiwe fit kuanza au huyo mchezaji alieanza yuko mbele yake.. nikisema mbele nadhani unanielewa.
 
uwezo wa kiuchezaji kipindi hiki unapimwa zaidi na fitness yako mchezaji pamoja na uelewa wako zaidi wa mbinu ,ufanye maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

unaweza ukawa mzuri mguuni ila ukaishia benchi ,umri mkubwa sio kigezo sna cha kuwa unapewa dk nyingi za kucheza.
 
Senior replacement. Nini hichi unaandika? Wewe nani aliyekuambia Eze ni replacement ya wing?

Unahisi anawekwa kule pembeni kwakua benchi linaenjoy akikaa kule?

Aliyekuambia Madueke ni replacement ya LW nani?

Unafikiria kwa kutumia nini?
Wewe hapo huelewi nini naposema senior replacement.. haya ngoja nikulainishie kidogo.
Kwa wewe usiyeelewa naposema senior replacement maana rahisi anatoka senior/first team/regular player anabadilishwa na senior/first team/regular player. Kwa maana hiyo alivotoka Saka, kwa kuwa option zilizokuwepo kwa upande wa wings ni Eze na Dowman.. tayari Eze anabeba advantage sababu ana uzoefu zaidi na ni more regular ukilinganisha na Dowman.

Kuhusu Eze kucheza wing, come on..! Kumbe we ni mweupe hivi.. kwahiyo Eze hajawahi cheza wing? Sawa naturally ni no. 10, lakini ni versatile anaweza cheza kutokea pembeni km wing ya kushoto, madueke akatokea kulia. Amewahi cheza LW mara kadhaa alipokua QPR na Crystal Palace, i feel so embarrassed kukuelezea haya ukizingatia uzoefu wko uliotuambia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…