Baada ya fixture ya Bayern vs Arsenal kujulikana mara moja Kompany na Kimmich wakaingia kazini kusema wanakuja kulipa kisasi na tutawaeleza tuliwafungaje.
Siku imefika.
Kikosi? Best players to drive the team forward wako bench. Arteta aims kwenye tactics, the question is whether Bayern hawatokua na majibu ya hizo tactics halafu wakaamua kurely kwenye individual brilliance walizonazo.
Bayern anataka atumie pace ya Davies na technical ability ya Gnabry kusumbua full backs halafu Kane ababaishe pale kati.
Kwa kikosi cha muda huu pound for pound mwenye tactics nzuri mshindi, tusubiri kwenye execution