Nitakua narudia yale yale.. game approach unapocheza na City sio sawa na utakavocheza dhidi ya Sunderland, Nott Forest, Brentford, Everton, and the likes..
Mechi vs City ilikua technical zaidi, tena kwenye neutral ground ndomana tuliona fluidity unayoizungumzia.. huwezi kufananisha na mechi ya ligi away vs Sunderland (at stadium of light) au nott forest (london stadium), utapewa different game.. hizo mechi zinahitaji physical game yako iwe at the best, pia itakubidi udili na low blocks. Unataka timu iflow na mpinzani wako hafunguki??
Hao Nottingham tulowafunga juzi 1-0, msimu jana tulitoka 0-0 kwenye uwanja huo huo.. sasa chagua wewe uchukue point 3 au uwe entertained!
Msimu wa 22/23, first leg, Forest tulimfunga 5 kwa bila. With fluidity.
Second leg ikawa 0 - 0. Kwasababu ilikua hatuwezi kuhandle low block.
Low blocks zimeanza kutusumbua tangu kipindi hicho, ujio wa Eze na Zubimendi ilikua ni kwenye mechi za hivi. Hii ni kwakua tulitumia karibu msimu mzima tukisema wapinzani wanafanya kusudi ku-low block dhidi yetu.
Ila wengine tukasema shida ni fluidity. Mechi ya juzi dhidi ya Forest tulikua tunapata chance ya kubreak free na kuestablish counter but we didn't, mtangazaji akalisema hilo.
Mechi dhidi ya Lille, baada ya subs ndiyo timu ikaonekana inatembea na magoli yakaja. Mtangazaji akalisema hilo.
Mechi zote CM anayepokea mipira akiwa nyuma na mabeki hua anakua Rice, dhidi ya Forest, Odegaard ambaye ndiye AM ndiye akawa anarudi kupokea mipira. Huyu alitakiwa awe mbele ya dimba, what follows ilikua ni back pass.
Asiyehofia kwenda mbele kutokea CM kawekwa bench, ST wa kufanya opponents wasimsahau kawekwa bench,
Goli la Madueke lilikua deflected, huwezi survive kwa magoli ya deflection ya last minutes. Tuliisema kwa Liverpool na sasa tusione nongwa kusema kwa timu yetu.
Nafikiri unahalalisha kitu ambacho hakipo, if you have the best team present the best team, that's it. Na mimi siongelei entertainment hapa, naongelea incompetence, Forest walipata nafasi zaidi ya 2 za wao na kipa they missed, next time they won't .