Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,509
- 5,193
Nimewabetia kenge kabisaa ole wenu mfungwe au drawTzolis aliondoka mzima tumerudishiwa mbovu. Imesababisha leo Noni aanze kule LW, Zubimendi naona amezidi kushindwa kumshawishi kocha apunguze imani kwa Skelly.
Sasa changamoto inayokuja ni kwamba Zubimendi alitakiwa awe Busquet so inashtua anaposhindwa kua pale na kulazimika kua nje.
Eze labda ajirekebishe hivi karibuni ila huyu naye bado hajafanya cha kushtua. Forget statistics.
Kisha kocha wetu as usual, kamuweka Kai kama ST. Now tunaingia huku tukiwa na jeraha la chuma tatu za Brighton na mpira mzuri waliotupigia siku ile.
One thing we should learn ni kwamba tunahitaji kushuti nje ya boksi na wingers kufanya kazi kwa nguvu zote. Kitu pekee Arteta alichoona ni Rice na Guimaraes hawawezi kuanza pamoja, hiki hata tuliokua kibanda umiza tuliona.
But vipi kuhusu forwards? Kai? Eze? So let's see leo
Ngoja tukufurahisheNimewabetia kenge kabisaa ole wenu mfungwe au draw
Binafsi Eze hajanivutia tokea ajiunge nasi, Ukitoa games chache kama ile ya Totenham na ile aliyotuvusha CL naona wa kawaida sana.Tzolis aliondoka mzima tumerudishiwa mbovu. Imesababisha leo Noni aanze kule LW, Zubimendi naona amezidi kushindwa kumshawishi kocha apunguze imani kwa Skelly.
Sasa changamoto inayokuja ni kwamba Zubimendi alitakiwa awe Busquet so inashtua anaposhindwa kua pale na kulazimika kua nje.
Eze labda ajirekebishe hivi karibuni ila huyu naye bado hajafanya cha kushtua. Forget statistics.
Kisha kocha wetu as usual, kamuweka Kai kama ST. Now tunaingia huku tukiwa na jeraha la chuma tatu za Brighton na mpira mzuri waliotupigia siku ile.
One thing we should learn ni kwamba tunahitaji kushuti nje ya boksi na wingers kufanya kazi kwa nguvu zote. Kitu pekee Arteta alichoona ni Rice na Guimaraes hawawezi kuanza pamoja, hiki hata tuliokua kibanda umiza tuliona.
But vipi kuhusu forwards? Kai? Eze? So let's see leo
Individual brilliance aliyokua anaionyesha Palace huku haionyeshiBinafsi Eze hajanivutia tokea ajiunge nasi, Ukitoa games chache kama ile ya Totenham na ile aliyotuvusha CL naona wa kawaida sana.
Leo Madueke amepata nafasi ya kuanza tuangalie kama atajirekebisha
Sioni tukipata matokeo positive, labda negative.Tunacheza hovyo mno
Kawaida yake mbwa huyu.Arteta ni mpumbavu sana