Arsenal (The Gunners) | Special Thread

na havertz anafungaje?
Mfumo wa Arteta hata akipewa Haaland itakua ngumu kutoboa coz hauhitaji natural striker, unataka false 9 wa kusaidia kwenye build-up, ku play between the lines, good with the ball na most importantly, awe na uwezo wa ku win duels zake.

Ili tumfaidi mchezaji km Victor, inabidi tuwe tunacheza direct passing game, long balls na mchezo wa counter attack.. hapo ndo tuta unlock beast mode yake. Otherwise tutamuona mzululaji tuu.

It explains why Arteta wanted the likes of Alvarez, etc.
 
Nimekusoma.
Ila ukame wake wa mabao unatia wasiwasi kwangu.
 
Kwa nini kamuuza G. Jesus.
 
Kwenye 4 2 3 1 false 9 inakujaje? 4 3 3 ndiyo inakupa false 9

Kwanini akiwa Kai pasi zinaenda ila Gyokeres haziendi?

Umeangalia mechi ya jana? Umeona options za pasi zinakuwepo ila wanarudisha nyuma makusudi?

Gyokeres anaanza run Merino anageuka anapeleka pasi mpira ulipotoka
 
Hichi kikosi cha jana kimefungwa magoli ya kipuuzi.

Kufika January Eze anaweza ondoka.

Kwa aliyeangalia mechi na ameziangalia zingine ataelewa kwanini wengi tunasema Eze ataondoka asipojirekebisha.
 
Max Dowman jana kascore magoli mawili.

Ana miaka 16.

Arteta alianza kumpa minutes first team alipokua na miaka 15.

Dogo wa united, JJ, nasikia ni bonge la talent kaona anachelewa kaomba kuondoka.

Baba wa mtoto anakuambia united haiwezi kumsaidia ukuaji mwanae, kwa sababu training facilities za united siyo za kisasa na anaona dogo atachelewa kua pale.

Inasemekana anataka aende Madrid.

Anyways, dogo ajiangalie. Amuone Endrick kama mfano wa sasa lakini kuna Takefusa kuna Odegaard ambao walikua na sifa za kucheza Madrid ila minutes hakuna.
 
Kuna watu waliwahi kufananisha quality ya Arteta na De Zerbi akiwa Brighton.

Akafukuzwa.

Amerudi Spurs. Hawakurudia hiyo drama.

Ila humu kuna member akadhani jamaa na Spurs ni gem.

Observe
 
Kwa nini kamuuza G. Jesus.
G. Jesus ni typical Arteta type, ndo mana aliposajili tulikua tunacheza sexy football.

Mambo ya mpira mgumu yalianza msimu uliopita baada ya VG kusajiliwa coz we had to adjust to cope with his style of play, fans wakawa wanalalamika hapewi pasi, etc.. etc..

Ila GJ hakuweza kufanikiwa kwenye timu kwa sababu ya availability/injuries, huwezi kumtegemea striker ambae unajua at some point atapata majeraha na kukaa nje kwa muda mrefu.
Vile vile GJ anafanya vitu vingi sahihi isipokua finishing.. ila ana pressing nzuri, good link-up play na ni versatile (can play from the left/right wing). Naweza sema coach preference pia imepelekea ashifanikiwe mana Arteta nae ana mapenzi makubwa na Kai.
 
Ndio kwenye 4231 kuna uwezekano wa kuwepo false 9. Hiyo 4231 ni on paper, maana yake ST anaweza kushuka kwenye CAM position, No 10 akatokea pembeni formation ikawa 433 without the ball AU wakawa No 10 wawili ambayo huwa tunatumiaga formation ikahamia kwenye 424.

Jambo la kupewa pasi au kutopewa linategemea na positioning. Km kwa mechi ya jana kuna muda VG alienda pembeni akapewa pasi, ni kwa sababu mfumo wa Arteta una demand hivyo (na ndo kitu ambacho Kai anafanya) otherwise ukiwa lone striker utakua isolated na pale mbele utaonekana mzululaji tu..
 
Uwezekano unakuepo kweli lakini on paper haidemand hivyo.

4 3 3 ya false 9 inafanya scorers kua wingers na CMs. Lakini CM kwetu hawafungi constantly kwa sababu hatufanyi false 9 ya kweli.

4 2 3 1 anafunga sana ST na AM kwa sababu wapo kwenye boksi mara nyingi na wingers hufunga kukiwa na transition au counter.

At best tunachofanya Arsenal ni positional football, wachezaji kuhama constantly kwenye nafasi zao kutegemea na wapi wanatafuta pa kuexploit.
 
Ilikuwaje jesus akawa anasugua benchi wakati ndio sifa zake hizi?
 
Hapo kwenye mapenzi na kai nakuelewa, ila kiukweli jesus ndio likuwa striker bora zaidi kwetu, ni kweli ana changamoto ya majeruhi, ila hata alipokuwa fiti hakuwa akipewa nafasi tena..
Arteta kuna muda dishi lake linaeleke magharibi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…