Hatutengenezi nafasi kabisa leoMechi ilianza Sunderland wakiwa wanaogopa.
They are now confident enough. Hii ikiendelea itatusumbua
Ina kunyima usingizi? Mbona hata namba 20 ipo pia.Tupo Kileleni...
Kuna team ipo No 13.
Upo kileleni kweli kwa sasa, hilo tunakubali. Ila ngoja Manchester Derby iishe kwanza, ndipo tujue nani anaendelea kukaa kwenye kiti cha enzi.Tupo Kileleni...
Kuna team ipo No 13.
Na tukibeba nitakuwa wa kwanza kusherehekea 🫶🤣😂Ila mwisho wa msimu tunabeba tena ndoo🤠🤠
Sare itapendezaIngekua enzi za Pep Sisi leo kushinda ni inakua tumemchongea nyumbu ila Enzo na Carrick wote vyura tu. Ngoja tuone
Narudia kauli niliyotoa 2020 na ngapi sijui huko, huyu jamaa ni mchezaji wa kawaida tu, sasa hivi ndio amezidi kuporomoka kiwangoSaka. Huyu mtu inabidi tuanze kumjadili sasa