Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi ni kwa nini wachezaji wetu hawapendi kujaribu kufunga wakiwa nje ya 18..
 
....hapa leo ushindi ni kazi sana maana huyu refa naona kaamua kutuuma ile mbaya. Kishafuta penalty 2 na sia ajabu akawapa jamaa penalty au hata akatoa red card ili tubaki 10.
 
....hapa leo ushindi ni kazi sana maana huyu refa naona kaamua kutuuma ile mbaya. Kishafuta penalty 2 na sia ajabu akawapa jamaa penalty au hata akatoa red card ili tubaki 10.
BAK hiyo spirit huwa inaharibu sana game... we angalia tu, mpira ukiisha then tathmini
 
Bora Arteta anajaribu akiwa nje ya 18......

Huyu Arshavin atolewe tu....
 
Van Persieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal
 
Tulifanya hutani QPR watasawazisha........Wenger afanye sub za kutafuta ushindi sasa....
 
Arsenal wanafanya sub.....

Arshavin nje,Rosicky ndani......Safi sana AW
 
...Tunahitaji at least goli lingine moja ili kuhakikisha ushindi, haka kagoli kamoja kanatia wasiwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…