Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaambiwa baada ya game ya juzi ya Nyumbu ambayo walipigwa mbili na Hull timu iliyopanda daraja, Michael Carrick kwa kuwaonea huruma wachezaji wake akawapa siku mbili za kupumzika.

Jumapili na Jumatatu na leo watafanya mazoezi mepesi ya push ups kumi kila mmoja na kurudi nyumbani
 
Naona mmekaa kimya baada ya matokeo ya jana
No clean sheet.

Poor defense awareness.

Wachezaji wako bora Enzo kaanzia benchi Caicedo hajulikani alipo.

Kipa hamna kitu.

Hayo ni maelezo ya online jana sijaangalia mechi sina cha kusema.
 
No clean sheet.

Poor defense awareness.

Wachezaji wako bora Enzo kaanzia benchi Caicedo hajulikani alipo.

Kipa hamna kitu.

Hayo ni maelezo ya online jana sijaangalia mechi sina cha kusema.
Tangu Blueco wamiliki Chelsea msimu huu ndio tuna defence nzuri sana partnership ya Lacroix na Colwil itasumbua sana EPL shida yetu ni moja Sanchez sijui ni mtukane kiasi gani nilijua msimu huu atabadilika ila karudi vile vile kawazawadia Fulham mabao yote mwili kirahisi kabisa huyu jamaa anakera ile mbaya
 
Chelsea anacheza na Brighton, akimalizana na Brighton anakutana na Arsenal.
Caicedo alikuwa ana umwa tumbo wakati wa warm up ndio maana hakucheza hii game nahitamani sana front 3 yetu ya mbele ni unstoppable Cole Palmer, Joao Pedro na Morgan Rogers omba hiyo usikutane nayo ndio imeamua mechi ya jana ila yule mpumbavu Sanchez akawa anatukaba Nina Imani game inayofuata Hatokaa golini namjua vizuri Xabi Hana uvumilivu.
 
Online wanadai Morgan asingefunga hilo goli alikua mzururaji tu asiye na mbele wala nyuma.

Kwamba Palmer hii ndiyo mechi yake nzuri baada ya mwaka mzima kucheza makida makida.

Bora Caicedo hakuepo angekuepo lazima na yeye angewabariki Fulham goli
 
Online wanadai Morgan asingefunga hilo goli alikua mzururaji tu asiye na mbele wala nyuma.

Kwamba Palmer hii ndiyo mechi yake nzuri baada ya mwaka mzima kucheza makida makida.

Bora Caicedo hakuepo angekuepo lazima na yeye angewabariki Fulham goli
Umeongea kishabiki Zaidi
 
Umeongea kishabiki Zaidi
Kitakwimu

Morgan amegusa mpira mara 41

Amepiga pasi 23, 16 zilikua sahihi. Pasi nne zilikua za kuingia final third.

Ametengeneza nafasi 5 za kufunga. Hana assist.

Amepokonywa mpira mara 1. Amepoteza mpira mara 3.

Amepiga mashuti 3, 1 ni on target mawili yalikua blocked.

Tukifuatisha takwimu hizo hizo tukamchukua AM wa Fulham, Joshua King, stats zao haziachani.

What does this tell you?
 
Sasa hiyo ni Takwimu mbaya? Na hiyo ni mechi yake ya Kwanza unaona impact
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…