Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madueke ni useless kwenye umaliziaji.. Downman kwa Leo hapana game ina pressure kubwa kuliko yeye..
Downman ni professional footballer na kwenye mpira pressure ni zile dakika 10 za kwanza
Hauon kelele za mashabik wa city zimepungua sana?
 
Downman ni professional footballer na kwenye mpira pressure ni zile dakika 10 za kwanza
Hauon kelele za mashabik wa city zimepungua sana?
Kama kuna mtu anacheza hovyo Leo ni Eze..ndio wa kutoka...Anza kumfuatilia anachofanya
 
Arsenal kwel vichaa wamepiga high press vzr kabisa ila wamekariri lazima mpira kipa aweke chini ndio city waanze cheki kilichowakuta kipa katoa bonge la pasi la mkono , nusu ya timu ya asenyani ipo kwenye box la city inasubiri Donaluma aweke mpira chini
 
Sahihi kabisa, tumepoteza umakini kidogo tumeadhibiwa.
Kai nae anatukosesha magoli ya wazi kabisa sehemu ambayo Haland hakosi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…