Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanaoamini / kujua kuwa msimu huu EPL ni yetu gonga like hapa
Hii comment nitaifukua siku tunanyanyua NDOO
View attachment 3571266
Hii Imani ungehamishia kwenye dini ungekua umenyakuliwa kama Elia au henoko . Imani ni kubwa mno kama mlima.
Nyinyi ndo ivyo mshatoka patupu kaka.

Hivi mnaangaliaga hata matches zenu kweli? Nina wasiwasi mtakua hamuangalii match zenu.
Mlilalamika match ya Nottingham, wolves, inshort match zenu 15 zilizopita ukiwa unaangalia kuna utofauti wowote ule unaona? Hakuna utofauti wowote playstyle ni Ile Ile then unatarajia utabeba kombe.
 
Ikibeba vipi?? Arsenal habebi kombe lolote saivi ni 98.9% habebi kombe.
 
Zubimendi huyu mlipigwa mchana kweupe wazee? Hamna mchezaji hapa Bora lukonga au guendozi, chezaji hata kuomba pasi halitakiii linajificha kwenye migongo ya team pinzani au likipata pass ni back pass au pass ilimradi, zero scanning na mitetemeko 100%
 
Stats za jana Raya amepokea back pass 38, mwenye pass nyingi zaidi ni Declan rice then anafuata Raya ,Gabriel na saliba .
Timu inacheza mpira imegeukia nyuma unategemea Nini?

Papatupapatu za set pieces mkibahatisha mnakuja kupiga kelele mara Haram football mara quadruple.
Kichekesho zaidi ni man city hii ambayo inajiona mbovu inaondoka na makombe 3 (carabao,FA &EPL) halafu arsenal ambayo inajiona ni best team kwa sasa inatoka empty .

"WAZEE WA STANDARD WITH ZERO TROPHY " CASTRπŸ˜€
 
Labda mpite nalo kwa kuliiba, nje ya mada naomba kujua Havertz nafasi yake halisi ni namba ngapi?! Au anacheza nafasi zote za mbele🀣🀣
Kwa mujibu wa shabiki wao mmoja aliyepotea humu jukwaani, King Kai ni mtaalamu wa INVERTED PRESSING haijawahi kutokea duniani. Yaani anajiweka kwenye nafasi ambayo anazuia wachezaji zaidi ya wawili wa timu pinzani wasionekane na kupasiwa mipira kwa wakati mmoja
Nimeona niwakilishe hili ninalolijua ila mengine narudishe mic kwa wenye timu yao
 
Jamaa kakimbiaga kabisa alionekana siku arsenal iliposhinda kwa Madrid wakaanza kabisa kutafuta team ya kucheza nayo final ya UEFA.

Hili jukwaa watakimbia wote kina castr, arsenal 2004 na mkorea naona huu ndo msimu wao wa mwisho.
Arsenal 2004 alishaanza kunialika pilau la ubingwa πŸ˜€, nikamuuliza ubingwa upo kaka??
 
Kuna mwana mmoja sijawahi kumuona tangu ile Oktoba 29 ipite, anatumia ID ya HENRY14, kama yupo hai nitashukuru sana kwa ajili yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…