Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ikatokea though ni ngumu sana ni zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano mkabeba EPL .
Mchezaji Bora wa msimu kwenu atakua David Raya .
EPL kwa mara ya kwanza player of the season anakua kipa πŸ˜„ maana sidhani kama pale arsenal kuna mchezaji amemzidi Raya overall performance mpaka sasa kwa mbali anayemfuatia ni Gabi.

Man city alichukue tu hili kombe haiwezekani EPL player of the season awe kipa, alichukue atuondolee hii aibu
 
Una hangaika sana kama mbuzi wa kafara
 
Barca nilisha sema hamuwezi atm wa msimu huu, atm akisikia harufu ya kombe ana kaza kishenzi
Kadi nyekundu ile imewaharibj jana, ngoja tuone game ijayo.. mie ni muumini sana wa el cholo, tuseme tu shabiki wa atletico kabisa, hata mtandao wangu wa jamii nimeandika hivyo, lakini msimu huu haeleweki.. game ijayo sijui kama atletico hatopa nyekundu.
 
Just wake up your dump ass, kwani huyo Raya ni mchezaji wa timu gani?
 
Naona mazoezini mnashikishana pen tu, mtalichukua kweli hili kombe wazee?.
Pep yeye anapiga hesabu zake , nyingi mpo mazoezini mnashikishana pen daah false hopers nan aliyewaloga?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jana wakafunga liscrini likubwa mazoezini.Kuna vitu wakawa wanadanganyana.

Kama watu kweli vile πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…