Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa ndo utaelewa why DSTV, Compact package, 68,000 tzs, unawaona Madrid vs Munich

Ila, Arsenal na Sporting, Compact Plus, 118,000 tzs
 
Lilipigwa boli, au mateke tu?
Game ilikua shit.

Odegaard hayuko sawa, sense ya kupasi vizuri kaipoteza siku hizi.

Goli dhidi ya Soton lilitokana na pasi yake kwa adui.

Jana Sporting CP waligongesha mtambaa panya ulitokana na pasi yake kwa adui.

Yaani unamuona uwanja mzima ila hana impact. Timu haina fluidity kwenye movement, tupo slow, hakuna shot takers.

Ukiangalia takwimu za mechi na matokeo utaweza sema ilikua fresh ila hapana na ninaamini imetokana na sisi kucheza na ile attitude ya kusema tupo ugenini. Shida ni kwamba hata Emirates hua tunakua kama tulivyokua jana.
 
GAme za mwisho za arsenal niliona tunashinda sababu ya mabeki zetu na kipa... labda na declan ruce ukitoa hao, kwenda mbele huko timu haieleweki, wakati mwingine bora eze, siku trossard akiamka vizur anasaidia.. yaani kuna ile rythm tumeipoteza kabida.
 
Ukiwa na smart tv kwa elfu 20 unaangalia mechi zote unazozijua.

DSTV itakufa
Linafahamika hilo.

Post ni kwa nini Super sport mechi wameiweka S Football Plus badala ya S EPL. The reason wanajua wateja wa hiyo mechi (still wapo pamoja na streaming + canal) ni Arsenal fans + Chelsea + Man U + Liver + Most Football fans.

They have to check game yetu, ili wapate ya kuandika mitandaoni.
 
Bro sijawahi kumiliki dstv so nashindwa figure out kama hilo ni jambo jema ama la
 
Barca wana nyekundu alafu wapo home, kipindi cha kwanza tayari wameshatanguliwa goli moja

Atletico madrid anahitaji goli mbili ili kujihakikishia kwenda kutolewa na Arsenal katika hatua ya sunu fainali
 
Hii michuano usipotumia uwanja wako vizuri biashara inakua imeisha

Madrid anakibarua kigumu sana pale alianz arena

Psg anautumia uwanje wake vizur kumnyoosha Liverpool

Sporting cp ameshindwa kutumia uwanja wake vizuri so hakuna kitu anaeza fanya pale Emirates
 
Barca wana nyekundu alafu wapo home, kipindi cha kwanza tayari wameshatanguliwa goli moja

Atletico madrid anahitaji goli mbili ili kujihakikishia kwenda kutolewa na Arsenal katika hatua ya sunu fainali
Hawaeleweki hao usishangae wakapigwa
 
Ziko very limited. Ila kama ina nchi kuanzia 50 weka sokoni hukosi mteja
Yeah hii nikiweka sokon sikosi mteja, haina kipengele na huo upuuzi wa vidaa tu
Ni 43 inch ikitokea nakosa mteja nitawapa nyumbu wafanye kama kombe lao msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…