Watu hata kuchop hawajataka wakawa wanamlenga tu yule kipa.
Kutesana ilikua zamu zamu. Hincapie anasumbuliwa na Semenyo wakati wings zetu hazitoi hii treatment kwa defense ya City.
Gyokeres akigewa mipira mara nyingi then tuna chance ya kumsababishia red Khusanov.
Set pieces hazijaonyesha matunda yet tunatumia mfumo huo huo. City nao wamerudia mistakes hizo hizo kwenye set pieces.
Sasa hivi tunahitaji pace na shots za nje ya box. Saka hayupo radhi kufanya hivyo.
Hope tunasemana hii half time. Tukirudi tuwe wengine.