Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumejituma tunachokosa wachezaji wetu wachache pale mbele hawana nguvu. Walcott na Gervinho wametunyima mchango wao leo wanatakiwa watumie nguvu zaidi kwenye mechi kama hizi.

gervinho muwindaji sijui mlimsajili wa nini ..anakimbia kimbia tu kama winga wa kaba kayeka
 
....Huo ndio ukweli. Pamoja na kufungwa mimi nimeshangazwa sana na kiwango cha kujituma cha wachezaji wengi )ukiondoa Walcott, Arshavin na Chamakh) wa GUNNERS ukilinganisha na misimu ya hivi karibuni. Kama watacheza katika mechi za usoni kama walivyocheza leo basi tutakuwa tishio hata kwa timu za juu kama MANU, MANC, Tottenham, Chelsea na L'pool. Refa katunyima penalty ya wazi kabisa hivyo tulistahili angalau kutoa sare. Mechi ilikuwa nzuri sana na mashambulizi yalielekezwa kila upande.
 
Mkuu tumeteleza ni nafasi ya tatu...
 
Katika mpira mshindi ndiye aliyecheza vizuri, huwezi sema umecheza vizuri wakati umefungwa, pia mpira sio mchezo wa kubahatisha hadi mtu aseme Man City wamebahatisha. Mpira ungekuwa ni mchezo wa kubahatisha kama ungekuwa unachezwa kwa dakika 1 au 2 lakini dakika 90 zote unasema umebahatishwa hiyo si kweli bwana.
 
Ni kweli unayoyasema lakini kwa game hii lazima niseme City wana bahati kutokana na goli lao kuwa la ki-off side na sisi kunyimwa penalty ya wazi kwa uzembe wa refa Phil Dowd,nasisitiza ni BAHATI yao.
 
kosa kubwa waliofanya ni beki na aguero kuucheza ule mpira na silva alikuwa offside ila kutokana hao waliucheza ndio basi tena tena tukafuta ndoto yenu ya ushindi..
 
Poleni waungwana.

....asante,....maana jana mlikuwa na mixed prayers, huku mnaombea tufungwe sita kama nyie,
wakati huo mnaombea tuwapunguze spidi, si eti ee?!

j...all in all, japo kwa pointi moja ubingwa wenu msimu huu, hawa man city zao zinahesabika mkuu.
 
Hahahaha! asante kaka...jana binafsi yangu 100% nilikua upande wenu, ila ndo hvo tena.
 
Ni kweli unayoyasema lakini kwa game hii lazima niseme City wana bahati kutokana na goli lao kuwa la ki-off side na sisi kunyimwa penalty ya wazi kwa uzembe wa refa Phil Dowd,nasisitiza ni BAHATI yao.

Haka kaugonjwa ka Aseno fan kulialia na maref mara sijui wat and wat sijui mtaja acha lini hv????...yaan mnadhan soka n kama lile la kwa playstation?, mnaboa sometimes bana.
 
thread ina picha nyiiiiingi lakini mafanikio ushuzi...
Hii timu haina tofauti na JKT Ruvu au hata na Kariakoo Lindi
 
Haka kaugonjwa ka Aseno fan kulialia na maref mara sijui wat and wat sijui mtaja acha lini hv????...yaan mnadhan soka n kama lile la kwa playstation?, mnaboa sometimes bana.

Usiwe na wasi wasi technology inakuja kubebwa mnakobeba kutaisha hapo ndipo mtakapojua zipi ni mbivu. Jamaa alinawa mpira then anasingizia ati msuli umemshika ..... .... kama mnataka EPL iwe netball bora msena, hii ni mara ya pili tunanyimwa haki na wapokea bahasha. Tottenham goli lao la mkono walizawadiwa wakati Mancs watu wazima chacha wanahalalisha netball kwenye soka Phew! Disgusting.
 
....asante,....maana jana mlikuwa na mixed prayers, huku mnaombea tufungwe sita kama nyie,
wakati huo mnaombea tuwapunguze spidi, si eti ee?!

j...all in all, japo kwa pointi moja ubingwa wenu msimu huu, hawa man city zao zinahesabika mkuu.

Asante kwa kuijua kweli manake itakuweka huru na kuwa mbali na pressure
 
Aston Villa: Guzan, Hutton, Dunne, Cuellar, Warnock, Albrighton, Ireland, Clark, Petrov, N'Zogbia, Agbonlahor. Subs: Marshall, Collins, Delfouneso, Delph, Bannan, Weimann, Williams.

Arsenal: Szczesny, Coquelin, Mertesacker, Koscielny, Vermaelen, Walcott, Ramsey, Frimpong, Arteta, Gervinho, van Persie. Subs: Almunia, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Squillaci, Arshavin, Chamakh, Benayoun.
 
wakuu habari yenu bana kama kawa tumejaa tele kwenye thread ya chama kubwa ... Leo NBA wasiwasi tunamuogesha mtu bao mbili ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…