Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tujipange kumalizia games zetu za mwaka huu zote kwa ushindi.

Sio matokeo yakutukatisha tamaa, lakini yameweza kuonesha upungufu wetu ambao upo miaka nenda rudi. Physical game zinatusumbua sana.
 
Sasa japa hata top four sijui itakuaje...... Out of top team tumewafunga Chelsea tu.... Los kwa Man Utd, Liver, T'Ham na leo Man City!!!! Hii inaonyesha bado hatujawa na uwezo wa Kushindana kwa kuwa washindi.... Tunashindana koz ni washiriki.... Generally Walcott alikuwa very poor.... Kipa ndo katutoa...... NEXT........ ITS OK fellow Goonerz!!! Ndo mchezo na tukubali kushindwa.... Kama tulisurvive zile 8... sidhani kama itakua ngumu kusurvive hiki kipigo cha goli moja ila kinadidimiza ndoto za kushiriki hata CL next season!!!!
 
Tuwasaubiri tu Aston Villa Jumatano, lakini wenger inabidi afahmu kuwa hana namba 7, 10 wala 11
 
Man CITEH wanakula X mas kwa raha Sana..... ndo timu pekee amabayo HAIJAFUNGWA








AT HOME
 
Watu na akili zao inabidi sasa watetee handball kwenye penalty area. Maajabu ya 2011 lakini mashindano yanaisha 2012.
 
[TABLE="class: football"]
[TR]
[TH="class: hidden col1"][/TH]
[TH="class: hidden col2"][/TH]
[TH="class: col3"]Pl[/TH]
[TH="class: col4"]W[/TH]
[TH="class: col5"]D[/TH]
[TH="class: col6"]L[/TH]
[TH="class: col7"]+/-[/TH]
[TH="class: col8"]Pts[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]1[/TD]
[TH] Manchester City[/TH]
[TD]16[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]35[/TD]
[TD]41[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]2[/TD]
[TH] Manchester United[/TH]
[TD]16[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]23[/TD]
[TD]39[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]3[/TD]
[TH] Tottenham Hotspur[/TH]
[TD]15[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]34[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]4[/TD]
[TH] Chelsea[/TH]
[TD]16[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]15[/TD]
[TD]32[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]5
[/TD]
[TH] Arsenal[/TH]
[TD]16[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]29
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]6[/TD]
[TH] Liverpool[/TH]
[TD]16[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]29[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]7[/TD]
[TH] Newcastle United[/TH]
[TD]16[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]27[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Shughuli sio ndogo. Ule mwanzo mbovu ndio unatugharimu.
 
Bahati haikuwa yetu! Plus beki zetu za pembeni zingekuwa fiti mambo yangekuwa mswano. GOONER 4 LIFE.
 
Sasa japa hata top four sijui itakuaje...... Out of top team tumewafunga Chelsea tu.... Los kwa Man Utd, Liver, T'Ham na leo Man City!!!! Hii inaonyesha bado hatujawa na uwezo wa Kushindana kwa kuwa washindi.... Tunashindana koz ni washiriki.... !

Sidhani, kwangu mimi performance yetu ilikuwa poa sema tu makosa madogo madogo ndo yametufanya tusishinde, but ukilinganisha tulikotoka na tulipo, tuko safi!
 
Arsenal manager Arsene Wenger: ""We were unlucky because we had chances. The offside positions (on City goal and Arsenal chance) are not exactly convincing. But this is part of the game."

BBC
 
Mechi ya tatu kuanzia jumatano itasomeka hivi Man City 0 Liverpool FC 3.
 
Sidhani, kwangu mimi performance yetu ilikuwa poa sema tu makosa madogo madogo ndo yametufanya tusishinde, but ukilinganisha tulikotoka na tulipo, tuko safi!


Kushibda ligi hakuangalii ulipotoka wala ulipo.... Kinachitajika ni kuwa na point za kutosha kama wenzetu... CITEH wanatuzidi point 12.... Game ya Chelsea na T'ham midweek ina maana sana kwetu na ushindi wetu kwa A' Villa......
 
Hakunaga zaidi yangu mimi na Arsenal mpaka rushwa itakapoisha Tanzania,Mungu ni wa Arsenal...Mungu ni wa ManCity....Mungu ni wa wote,leo ni wameshinda wao,siku nyingine tutashinda sie.
 
Tuwasaubiri tu Aston Villa Jumatano, lakini wenger inabidi afahmu kuwa hana namba 7, 10 wala 11

Number 7 yupo dogo mzuri tu nadhani tatizo lake kubwa yule dogo bado hana uzoefu wa kurudi kusaidia nyuma kukaba. Lakini kwa mashambulizi na hata cross delivery yule dogo anamzidi walcot.
 

pole sana ndio mpira huo..
 
We put up a strong opposition but we were Unlucky. Nasri hana jipya alilolionyesha kwa Arsenal leo. Kiwango chake sawa tu na Ramsey
 
Tumecheza mpira mzuri sana 2nd half,tatizo ni kwamba bahati haikuwa upande wetu,Man City wanapaswa kumshukuru sana Joe Hart kwa kuwaokoa game ya leo.....Walcott ametuangusha sana leo,hakuwa kwenye form kabisa....

Kuna haja ya AW kumbadili namba TV5 na kucheza kama AM.....Jamaa ni mzuri sana kwenye kutafuta magoli ya mbali.....Kiukweli Man City hawatishi kivile,tumewabana sana leo hasa dakika za mwisho kiasi kwamba ilibidi Joe Hart aanze kupoteza muda...

Halafu,ina maana refa hakumuona yule beki wa City alivyzuia mpira kwa mkono,na kabla ya hapo RVP alisukumwa ndani ya eneo la hatari......Anyways,ndo EPL hiyo.....

Hongereni Arsenal kwa mchezo mzuri,tujipange kwa mechi na Aston Villa sasa...

Bala.
 
Number 7 yupo dogo mzuri tu nadhani tatizo lake kubwa yule dogo bado hana uzoefu wa kurudi kusaidia nyuma kukaba. Lakini kwa mashambulizi na hata cross delivery yule dogo anamzidi walcot.

hhaaaa arsenal kwa kutoa sababu daaaah ...yaaani kila siku mkikalia kigoda mnaaza reasoning kibao...kubalini mmefungwa bana ....timu ina mbwembwe sana magoli kufunga hamuwezi
 

mnatoa analysis nzuri kweli..hizi muwe mnamfowadia AW jamani...
 
Dah Poleni Arsenal.......mlicheza vizuri though........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…