...Wenger ana mabeki zaidi ya sita hivyo anapunguza idadi. Wiki hii Arsenal wapo katika harakati za kusajili wachezaji kadhaa ambao wanatajwa kuwa ni Salomon Kalou wa Chelsea ambae Arsenal wapo tayari kulipa £6million ingawa Chelsea wanataka £8million.
Mwingine ni Marouane Chamakh kutoka Bordeaux ambae timu yake hio inadai milioni 15 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 wakati Wenger yupo tayari kutoa milioni 5 tu.
he can hold the ball better than adebayor and face the defenders which can lead to assisting if he cant score a goal.kalou hakupata mda mwingi wa kucheza kama adebayor lakini kalou ni mchezaji mzuri kuliko adebayor.Kalou is a very poor finisher, mara kumi ya Adebayor..he he he.
wenger alifanya kosa kubwa sana kumuuza diara kabla flamini haja sign contract mpya.alichotakiwa kufanya wenger pale ilikuwa ampekele on loan pompey na tusingempoteza kijinga vile.kwenye swala la diarra we lost n he is the winner n if he doesnt get a chance to play i will be happy to get him back to arsenal na nina huakika timu kubwa nyingi zitamgombania pia.dogo mkali sana kwenye defensive midfield.Naona Alonso anaenda Madrid, na hivyo inamaanisha Lasana Diarra aangalie ustaarabu mwingine kabla ya SA2010 maana mambo ndio hivo maji yanazidi unga taratiiib. Kwa washabiki wa Arsenal nadhani hii itakuwa habari nzuri maana kijana alianza kutukana mamba kabla ya kuvuka mto..he he he..vilevile kwa wapinzani wengine wa Kops hii ni habari njema maana pia uwezekano ni mkubwa kwa Mascherano naye kuishia Barca, na kupata replacement ya maana kwa mida hii ya lala salama ni inshu.
Kaazi kwelikweli.
he can hold the ball better than adebayor and face the defenders which can lead to assisting if he cant score a goal.kalou hakupata mda mwingi wa kucheza kama adebayor lakini kalou ni mchezaji mzuri kuliko adebayor.
gallas na djourou na vermaelen anarudi jumamosi atakuwa kapona.Wakuu ile beki vp?
Nani atasimama mkoba?
Galas,sylv wazee pumzi tabu......duh ...walah kazi ,,,ipo
Rosisky kaumia tena wiki 6 nje
Inawezekana,lakini kuna kitu kingine kitaalamu inasemekana kila mtu anweza kuumia na mnaweza mkaumia wakati mmoja na jeraha lika ni aina moja na sehemu moja katika mwili.Lakini mmojawapo inatokea anawahi kupona kuliko mwingine;hii inatoka na aina ya mwili wa mtu.Nafikiri huyu Rosicky aina ya mwili wake ni wale watu ambayo miili yao ni wagumu ku-recover....dah, kweli aisee... sikuamini mpaka nilipotafuta vyanzo vya habari. Naanza kutokwa na imani na hayo mazoezi ya Arsenal sasa. naweza kukisia 40% ya wachezaji majeruhi wa Arsenal wanaumia kambini/mazoezini.
Kunani huko nyieeeeee? Mazoezi magumu sana nini? 😡
Unajua ukiilinganisha ARS na Man-city kwa sasa itakuwa ni makosa;mpaka hivi sasa records aliyoandika ARS katika ligi ya Uingereza Man-city yuko nyuma sanaaa.Nadhani hata huu msimu hawataweza kufanya vizuri hivyo kama watu wanavyofikiria.
Ukiangalia sana wao sasa ndiyo wanaimarisha timu halafu itawachukua muda kuelewana kati ya mchezaji na mchezaji na bench la ufundi hadi hapo wanapokaa sawa msimu utakuwa umeisha ila msimu utakaofuata kama timu haita pukutika labda ndiyo tunaweza ongelea hiyo habari ya top 4.Na Sir Fergie ameizungumzia hii timu alipo kuwa tour Asia;kwa kifupi amei-under rate sanaaa kwa msimu huu.Na akahitimisha kwa kusema wapinzani wake bado ni ARS,The Blues na Liverpool;timu zenye mwelekeo wa kawaida ni Spurs,Aston Villa na Everton
Inawezekana,lakini kuna kitu kingine kitaalamu inasemekana kila mtu anweza kuumia na mnaweza mkaumia wakati mmoja na jeraha lika ni aina moja na sehemu moja katika mwili.Lakini mmojawapo inatokea anawahi kupona kuliko mwingine;hii inatoka na aina ya mwili wa mtu.Nafikiri huyu Rosicky aina ya mwili wake ni wale watu ambayo miili yao ni wagumu ku-recover.
,...Abuu Diaby, Samir Nasri, Gallas, Van Persie na Eduardo usiwasahau humo, wote niggling 'hamstring' kila kukicha.
Arsenal midfielder Tomas Rosicky could be facing another six weeks on the sideline as his painstaking return from injury continues.
Reports on Thursday morning suggest the Czech Republic international has pulled a hamstring in training and will now miss the first month of the season.
Rosicky has been battling to return to action after 18 months out but after his latest setback, he's been told by medical staff that he will be missing until mid-September.
Arsene Wenger will now be without the midfielder for up to four Premier League matches, and the club's Champions League qualifier.
The Gunners squad looks a little thin all of a sudden after Samir Nasri broke a leg in training and Emmanuel Adebayor and Kolo Toure left for Manchester City.
Just last week Rosicky was bullish about Arsenal's chances of retaining the title. He said: "We have got plenty of options and that is why I feel we will be stronger than last season because the boss will have more options.
wilshere atamkava bila wasi wasi.Ameshaanza Tomas Rosicky.
Asked about a comment by Manchester United manager Alex Ferguson in which he did not mention Arsenal when talking of title rivals, he said: "Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong in what they say."
Wenger is interested in adding one defender and one forward to his squad, at the right price, before the transfer window closes at the end of August.
"Don't forget that most of the business is done between August 26 and 31, at midnight," he said.