Huyo mchezaji ni wa kawaida kushinda kawaida yenyewe ,kawaida inamshanga,usinga angepewa Saliba ,Saka,Patey,Gabriel sio huyo kawaida .Mchezaji kapoa sana
Kikosi hakija balance pia kikosi chetu kipo kama pyramid Kadri unavyopanda juu ndio upana wake unavyopungua,kina mabeki wengi,viungo wengi halafu striker wa maana hamna.
Trent aliwahi kuwekwa DM aliperform hovyo. Naona na leo kenge wamemuweka James DM kichekesho kilichotokea ndiyo unajua kwanini Arteta anamuacha White RB