Jesus yupi?Tusisikie mkilalamika kuhusu majeruhi ya King Kai, nyote humu kasoro mwanampotevu hamis77 mlikuwa hamumtaki.
Mna Jesus mtumieni kama namba 9 wenu sasa.
Tusajili ili iweje sheikh?Arsenal wangese kweli, kama wangesajili January sasa hivi tungewapa kazi ya kufanya maana Arne Slut kuna viwanja vingi vya machinjio bado hajakanyaga.
Mbona hatuwaelewi mnataka tuanguke at the same time mnataka tushinde .Arsenal wangese kweli, kama wangesajili January sasa hivi tungewapa kazi ya kufanya maana Arne Slut kuna viwanja vingi vya machinjio bado hajakanyaga.
Arsenal wangese kweli, kama wangesajili January sasa hivi tungewapa kazi ya kufanya maana Arne Slut kuna viwanja vingi vya machinjio bado hajakanyaga.
ubingwa uko wazi,sema timu yetu haiko vizuri ubahiri utatuponza,liverpool bado hawajaexperience downfall ya season wanaweza kupoteza zaidi ya point kumi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hawa jamaa ni vichaa mkuu. Wanaosema Mwanaheri ataziba gape la King Kai na kuwapa ubibgwaWakati liverpool wanapoteza points 10 ushajiuliza Arsenyo watakua wamepoteza points ngapi?
Mnaongelea yule Saliba aliyebagazwa na Zirkzee?Madrid inamtaka Saliba.
Arsenal ipo tayari kumuuza kama Madrid itatoa angalau kuanzia 80M
Duh huyu si ndiyo alitolewa dakika ya 30 mkaanza kusema mliongopewa kua anajua mpira kumbe ni lofa?Mnaongelea yule Saliba aliyebagazwa na Zirkzee?
Ubingwa unatutafuta ila hatuutaki kwa misimu hii 3 mfululizo.ubingwa uko wazi,sema timu yetu haiko vizuri ubahiri utatuponza,liverpool bado hawajaexperience downfall ya season wanaweza kupoteza zaidi ya point kumi
Hata tukifungwa nisipomuona tu uwanjani roho yangu safii kabisa. Atupishe kidogo. Nmefurahi kwakweli