Yaani unaona kabisa kuna mabeki warefu na miili kikubwa (Botman & Burn) bado unaendelea kupiga kona za aina ile ile. Kona zote aseno amepiga hakuna hata moja imetua kwenye kichhwa cha mchezaji wa aseno.
Rahim Sterling hatrick, Kai Harvez 1 na Jojinyo 1 hatimae Chelsea imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya Carabao baada ya kupiga comeback dhidi ya Nyukesto.
Rahim Sterling hatrick, Kai Harvez 1 na Jojinyo 1 hatimae Chelsea imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya Carabao baada ya kupiga comeback dhidi ya Nyukesto. View attachment 3226447