Villa wana washambuliaji wawili hatari, Watkins na Duran, ambapo kila mmoja ni first eleven player katika timu nyingi ulaya.Mbona kama uongo? Yaani Watkins kwa 60m? Tena January? Tena mwishoni mwa dirisha huku wao Villa hawana muda wa kutafuta mbadala na wajikute wamebaki na Duran tu? Sidhani...
Hii poster ni ya siku 85 nyuma. Ukikaa kwa kutulia, na kusoma vizuri hii new format, utagundua Inter na Arsenal hawawezi kukutana tena, with the exception wote wakiingia final.Epl inawaitaView attachment 3218234
Ni kweli usemalo. Ila pia hapo huwa kuna vijifactors mbali mbali vya kuchangia kuwezesha hilo litokee. Mfano VVD to Liverpool nadhani walitoa 75m pounds, kitu ambacho kilikuwa rekodi kwa beki enxi hizo na Southampton hawakuwa katika nafasi za juu. Au Aubameyang to Arsenal wakati huo alikuwa mtovu wa nidhamu Dortmund hivyo walikuwa wanamtafutia pakumtolea kwa pesa nzuri, na aligharimu pesa nyingi tu. Ila hali ya Villa kuwa katika nafasi nzuri huku wakipoteza striker mmoja mzuri, sidhani kama inawezekana.Uduanzi mwingine wa Arteta na Arsenal ni kauli wanayopenda kuizungumza mara kwa mara ili tuone kama kweli.
Hii idea ya kwamba January ni ngumu kupata wachezaji wazuri, hata HENRY14 umeitumia hapo juu, ni propaganda nyingine ya Arsenal
Haaland to BVB, January.
Coutinho to Barca, January
Enzo to Chelsea, January
VVD to Liver
Bruno to Man U
Pierre to Arsenal
Diego Costa to Madrid, second spell
Torres to Chelsea
Diaz to Liver
Gordon to Newcastle
Marta to Chelsea
Guimaraes to Newcastle
Gakpo to Liver.
Currently, Omar Marmoush, na kile kitasa kwenda City.
Heheeeheeeee....Nyie zungukeni weeee, chezeni mpaka mdako ila tunajua mtakuja kukutana tu na Bayern Munich
Huishi kutuchawia aisee.Nyie zungukeni weeee, chezeni mpaka mdako ila tunajua mtakuja kukutana tu na Bayern Munich
Na Bayern wenyewe ni rojo rojo Tu hakuna kitu paleNyie zungukeni weeee, chezeni mpaka mdako ila tunajua mtakuja kukutana tu na Bayern Munich
Na Bayern wenyewe ni rojo rojo Tu hakuna kitu pale
Striker wa kuja Arsenal nikamkubali ni GyokeresKama nia ya Watkins ilikuepo sioni ni vipi biashara ifanyike jioni. Mimi pia ningekua Villa nisingekubali.
Unatoa 65 kwa Kai kisha mimi unipe 60 kwa Watkins? Huu ujinga sifanyi.
Tunaambiwa pia walimfuata Dusan wagewe kwa mkopo ila Juve anasema hataki yeye anataka auze mazima. Arsenal imetema negotiations.
Ni lini Arsenal ilimrudia mchezaji aliyetukataa? Huu mbona ni uongo wa wazi? No one wanted Dusan.
Victor Boniface yule pale Bayer Leverkusen. Mchukue kama kweli nia ya ST ipo
Kama kawaida yaoArsenal charged by FA over the players' reaction to Skelly redcard
Huyo arsenal haijamfuata kabisaStriker wa kuja Arsenal nikamkubali ni Gyokeres