Nimelikosa hili pilau la nguvu leo hahahahah lol! Ilibidi nitoke wakati wa HT huku nikujua kwamba kama kawaida yetu leo ni tundu tu toka kwa wagonjwa wa Malaria 🙂🙂 lakini kutokuwepo kwa Drogba (muuaji wa Arsenal) baada ya kupigwa red card last week kulinipa matumaini kwamba labda tungeweza kutoa sare. Nilipotoka wakati wa HT tulikuwa nyuma 1-2 narudi naingia BBC kuangalia matokeo siamini macho yangu, maana kuwachapa wagonjwa wa malaria nyumbani kwao 5-3 si kazi ndogo 🙂🙂...Hongera sana kwa ushindi huu lakini kazi iliyobaki bado ni kubwa sana.
Hongera kwa ushindi, lakini punguza uwoga, be a man.
Duuh! Long time mkuu, kumbe ushindi kitu kizuri?!
Acha Mkuu!!!...Unakenua siku nzima na raha tele moyoni 🙂🙂...Kweli mpira hudunda 🙂🙂
hahahahaha, nipe mchongo basi mkuu! nitumie kwenye PM, hahahahahaha! OMG, gongo?! Sounds like such a heavy prise to pay for the lost game. Maisha yangu leo ni magumu kidogo maana hapa nyumbani kuna rafiki kibao washabiki wa Arsenal, I'm receiving loads of sticks plus lost bets, HALI YANGU NGUMU lakini nitasurvive, I'm a fighter.
BUBU kitambo lakini.... Mambo vp??? Karibu tufurahi pamoja.....
Nipo Mkuu ila majukumu yameongezeka na kipande hii nilikuwa sitaki hata kupitisha pua kwa kuogopa kuzodolewa na wapenzi na mashabiki wa Old Trafford na Wagonjwa wa malaria.
Nipo Mkuu ila majukumu yameongezeka na kipande hii nilikuwa sitaki hata kupitisha pua kwa kuogopa kuzodolewa na wapenzi na mashabiki wa Old Trafford na Wagonjwa wa malaria.
Ha ha ha mkuu unaniangusha, jukwaa tulikuwa wote hapa msimu uliopita kila siku mpaka mwisho, sasa ukisema ulikuwa hutaki kupitisha pua huku noma tunakuitaji jukwaani hapa mkuu.
Leo nategemea hata Michelle atapita nae kutusalimia lol.
Wacha ngebe wewe, nilikaa na mishabiki kibao ya Chelsick ilikuwa inashangilia kama imekula unga wa JT nikawa navunga tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha hata hukuweza kunialika nije nikusanifu na vikongwe vyako khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Check hapa chini .... .
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Chacha nakualika Emirates return leg usiwe mwoga tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee with special condition uni-pm two weeks before the game nikuandalie ticket .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmekula ya chuya ....
Sawa Mkuu nimekusikia kuanzia sasa nitakuwepo hapa kila nafasi inaporuhusu bila kujali matokeo ya siku hiyo. Keren Happuch na Michelle labda wote watapita hapa mtaani kwetu kushangilia huu ushindi mkubwa sana.
Acha kabisa.... huwa unakimbia most of the tymz.... leo sijui ndo umeshapata NGUMU ndo maana una ujasiri wa kuaki hapa......