Arsenal (The Gunners) | Special Thread

“We want to do it The Arsenal Way,” says
@ArsenalWFC
’s Renee Slegers in her first press commence as new permanent head coach after the club confirmed the appointment

Naona tumeamua kumpa mwanadada Renee kazi maana kwa kweli ametembeza vichapo kwa wapizani mpaka wakaita maji mma. Wanawake wetu sasa wako points 7 tu nyuma ya wababe (wamame?) vinara Chelsea na point moja tu nyuma ya wahuni/matapeli/wezi Manchester City Women.

Tuone atamalizaje msimu. Renee angekuwa na Miedema, Arsenal ingekuwa hatari fire.

 
Note: Hizi stats ni weighted...

xG iko mbele kule japo tumekosa wamaliziaji wazuri na tumeachwa mbali na Liverpool. Tukomae zaidi na umaliziaji Gunners.

Ila hatuko vibaya kwenya xG against, hapa tunaongoza kwa defense nzuri. Na cha ajabu tumefungwa vigoli vingi katika xG ndogo, yaani tuna bahati mbaya ya kukosa magoli marahisi, huku pia tuna bahati mbaya ya kufungwa magoli magumu ambayo kwa kawaida hayafungikagi...

Bahati nzuri kidogo ikitudondokea tutazidi kuwa tishio.
 
Amadi si lolote si chochote mbele ya haka ka chalii



Mikel Arteta on Myles Lewis-Skelly’s positional change: “I had said to him, “If you want to play, it’ll be this (left back) position.”MLS has already packed Zinchenko’s bag. Hopefully he stays level headed and not try to change his position like some players and ruin his chances. AInsley Maitland niles could have been a very good RB/LB but his persistence to play in Midfield ruined his career
 
Gabriel and William Saliba celebrating together after Leandro Trossard scored in the North London Derby.The best CB pairing in the world. 😍

 
Kama ni kweli taunaweza kumpata , acha tumchukuwe tu huyu kijana. Huenda yeye, Rice, Merino na Odegaard watatawala midfield kwa misimu kibao huko mbele.



Mikel Arteta on Zubimendi links and midfield being an area where the club want to strengthen: “We have some situations with contracts expiring. We have to be prepared.” [@TomCantonMedia]
 
Siku nyingine usirudie kumfananisha Special Boy Amad Diallo na vitu vya kijinga kijinga.
Huyo Lewis Skeleton sio viatu hata kamba ya viatu vya Special Boy havimtoshei.
Siku hizi mbili tatu HENRY14 nakuona umeanza kua na Umasingeli ndani yako.

 
Halafu leo anajitoa kama vile hakuwepo!!, Mizamwamwa ya masingeli.
 
I think yeye na Jesus wanaweza partner up vizuri kwakua wote hawaogopi kulifuata box na wapo vizuri kwenye 1, 2.

So hata transition inakua rahisi wakiwa pamoja.

Obviously mbele ya Kai.

The most useless meeting in the history of football 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…