Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HONGERENI kwa ushindi, leo ni kama vile tumebadilishana beki!
Holy shit! I need some hard drink, it's going to be a looooong night.
Swallow your pride, keep the chin up and forget what just happened and focus on the next game. That is how we exactly did when we were down. Now you know how it feels when you are in deep end.
Tatizo lenu naona kocha wenu sio mzoefu na jinsi alivokabili situation ya Terry na kipigo cha Palace kuanzia wiki iliyopita inanitia mashaka. Migogoro na FA na distractions za media zitawasumbua kama zilivotusumbua sisi mwanzoni mwa msimu. Tofauti ni kwamba sisi tuna meneja mwenye uzoefu wa kuvuka dhoruba kama hizi.
 
Baada ya JT kuwa na mgogoro alihamishia unga darajani jamaa walibugia kichizi chacha peas of ant atengeneze uwanja ambao hata wachezaji wake wanateleza .... .... .... what a cowshed? Phew ngoja tuchubiri haters khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 3 points kibindoni. Hongera Prof na vijana wote wa Arsenal pamoja na Fans and friends of Arsenal kazi mnayofanya tunaiona.
 
Ni vyema tukajipongeza sana wakuu kwa ushindi huu wa leo!! Ushindi huu utajenga confidence na kuamsha hamasa kwa vijana, it was just what we needed!!!
 
wakuu, hivi BBC1 haipatikani kabisa kwenye Dstv channels? naiikosa sana Match of the Day!
 
Wakuu natumaini mmeona ile dance ya Santos baada ya goli hasa baada ya kuvuja sana kwenye kipindi cha kwanza lakini prof knows alimwacha aendelee uwanjani na kipindi cha pili alifanya kazi nzuri sana .... .... vidonge vya half time vilimwamsha.
 
Tatu mkuu, zingine Walcott na Santos.

Jamaa mkali sana tuombe aendelee kua mzima na amwage wino haraka. Huyu ndio mchezaji wa kumpa laki.
Tatizo Press za UK zinapenda kutuletea instability wakiona mchezaji katulia wataanza kumfata-fata sijui hatotia saini, sijui anaenda City, pheeew miezi 18 imebaki lakini wameshaanza kumuandama. Na wamwache jamaa akonstreti na kuinjoi na futiboli yake.
 

Mkuu naona table haijakuwa updated!


[TD="class: c1"]1[/TD]
[TD="class: c2 team"] Man City [/TD]
[TD="class: c3"]10[/TD]
[TD="class: c4"]26[/TD]
[TD="class: c5"]26[/TD]

[TD="class: c1"]2[/TD]
[TD="class: c2 team"] Man Utd [/TD]
[TD="class: c3"]10[/TD]
[TD="class: c4"]15[/TD]
[TD="class: c5"]23[/TD]

[TD="class: c1"]3[/TD]
[TD="class: c2 team"] Chelsea [/TD]
[TD="class: c3"]10[/TD]
[TD="class: c4"]8[/TD]
[TD="class: c5"]19[/TD]

[TD="class: c1"]4[/TD]
[TD="class: c2 team"] Newcastle [/TD]
[TD="class: c3"]9[/TD]
[TD="class: c4"]6[/TD]
[TD="class: c5"]19[/TD]

[TD="class: c1"]5[/TD]
[TD="class: c2 team"] Tottenham [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]2[/TD]
[TD="class: c5"]16[/TD]

[TD="class: c1"]6[/TD]
[TD="class: c2 team"] Arsenal [/TD]
[TD="class: c3"]10[/TD]
[TD="class: c4"]-1[/TD]
[TD="class: c5"]16[/TD]
 
Ha ha ha leo itakutoa, hapo London gongo inapatikana wasi wasi wako tu lol.



hahahahaha, nipe mchongo basi mkuu! nitumie kwenye PM, hahahahahaha! OMG, gongo?! Sounds like such a heavy prise to pay for the lost game. Maisha yangu leo ni magumu kidogo maana hapa nyumbani kuna rafiki kibao washabiki wa Arsenal, I'm receiving loads of sticks plus lost bets, HALI YANGU NGUMU lakini nitasurvive, I'm a fighter.
 
Tunawachubiri Emirates kwenye Carling cup watakiona cha mtema kuni .. ... Park, Oxlade et al wanawachubiri .... .....

yup! Lazima tuwatie dozi kwani mzee wenger amesema kwenye quarter fainals atatumia experienced players.
 
Leo furaha tupu kwa the Gunners. Wambamiza Chelsea 5 - 3. Safi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…