Halafu kwanini hatuna utaratibu wa kupiga pasi za ndani, tukatengeneza triangles kama wanavyofanya City ili kumfungua mpinzani?
Timu muda wote inacheza wide passes tunabaki ku circulate nje ya box la mpinzani. Ndio sababu hata chances tunazo create ni chache na inakua ngumu kurudi kwenye mchezo tunapotanguliwa au timu inapofanya low block.