Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya safi sana walcot....siaangalii mpira lakini nafuatilia hapahapa JF..Walcot leo anaonekana ametulia, mabeki wakomae tu hii mechi lazima chelsea watusome tu
 
Yaani hawa watu wa DARAJANI washapagawa.... Tungewawahi na kingine Fasta kabla hawajapoa....
 
Hapo nahisi SANTOS kapumua koz STU kamkimbiza mbaya.....
 
Washachachawa hawa.... Si unaona Mapande ya Lampard????? Tungewawahi hapa hapa.....
 
All the best Arsenal..... i hope today we take another point and continue finding the title
 
Kweli ushindi unatafutwa kwa Mbinu mingi sana..... Mtu wa Body ya IVANOVIC kwenda chini kwa such a slight push????? Duh!!!!
 
Wenger angemuacha tu Walcott game imemkubali. Siku ambazo game inamkataa na anahitaji kubadilishwa Wenger anamuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…