Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Una UCHOKO sana,kama ninyi mlivyomkaba Saka tena akiwa hajapona sawasawa lakini akampiga beki tobo na kuwaweka,na mlivyokuwa mna uhakika wa ushindi kisa tuna majeruhi wengi mbona jasho liliwatoka!!yaani kulia kacheza Partey lakini bado jasho liliwatoka,mtu upo kijijini huko kibanda umiza unawashwa kusema Goli offside kumzidi aliyekuwa Live EmiratesMkaamua wote mumkabe Salah lakini wapi😄
Jamaa kawaweka
Mkaamua wote mumkabe Salah lakini wapi😄
Jamaa kawaweka
Hapo akili imefikia mwisho. Ubingwa kwa kheri, no way.Tunaongoza dhidi ya city tukasusa kumiliki mpira.
Late minutes equaliser
Tunaongoza dhidi ya liva tunasusa kumiliki mpira.
Late minutes equaliser.
Against city tukahalalisha tulikua pungufu na city ni timu nzuri. Vipi leo?
Kama unashinda mechi zingine ila hizi za title challengers unapata matokeo haya inakua siyo mbaya.
Ila unafungwa na Bournemouth halafu unasuluhu na hawa challengers unajiweka sehemu ya hovyo.
ni mapema sana kuhitimishaHapo akili imefikia mwisho. Ubingwa kwa kheri, no way.
Una UCHOKO sana,kama ninyi mlivyomkaba Saka tena akiwa hajapona sawasawa lakini akampiga beki tobo na kuwaweka,na mlivyokuwa mna uhakika wa ushindi kisa tuna majeruhi wengi mbona jasho liliwatoka!!yaani kulia kacheza Partey lakini bado jasho liliwatoka,mtu upo kijijini huko kibanda umiza unawashwa kusema Goli offside kumzidi aliyekuwa Live Emirates
Kwa hiyo wengine wanao lakini kidogo, huyu ndio kawazid wenzie😂😂😂Mkuu
Huwezi kucomment bila kuhusisha matusi?
Mbona una hasira hivyo?
Kunywa maji ushushe presha hiyo
Fans wa arseno siyo wapumbavu wa kiasi chako.
sio lazima. kwani huwa hamfungwagi anfield?Hapo draw ni kwenu
Mkija uwanja wa machinjioni Anfield
Ni kuwanyonga tu
Supu ya jogoo tamu sana. Jana tulidhulumiwa ila sisi vicheche tukiingia bandani pale Anfield ni mwendo wa kujisevia tu vidari.Hapo draw ni kwenu
Mkija uwanja wa machinjioni Anfield
Ni kuwanyonga tu
Siku mbaya sana kwetu Ze Ganaz. Wangesubiri kidogo tu tukutane nao kwanza. Yaani unaona jinsi gani Asenali tunapigwa vita kila kona, kuanzia wachezaji wetu kuvunjwa kwa rafu za kihuni, marefa na VAR kutusulubisha bila haki, mpaka sasa Ratcliffe naye kaingia kutusagia kunguni kwa kumuondoa Baba Ubaya.Ten Hug kashafungashiwa virago huko!
Kila dalili zinajionyesha, sasa tuko 5 points adrift hilo gap kwa mpira huu tutalicover lini na wapi?ni mapema sana kuhitimisha
Kila dalili zinajionyesha, sasa tuko 5 points adrift hilo gap kwa mpira huu tutalicover lini na wapi?
Refa fala huyu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kabla ya kumtupia lawama refa tafuteni kwanza kocha wa kueleweka, la sivyo kila msimu nyie mtakua mnaishia tu kua wapenzi wasindikizajiView attachment 3137401
Mlidhulumiwa nini!?😂Supu ya jogoo tamu sana. Jana tulidhulumiwa ila sisi vicheche tukiingia bandani pale Anfield ni mwendo wa kujisevia tu vidari.
Hiyo siku, tumewapiga chache sanaaa, tatu.