Hii sio Jambo la kufurahia, coz Nyumbu hamtapata ata shoot on target.
Kwaio huyu ndio mbadala au mgombea namba na hojlund?Umesikia kwanza habari ya dogo chido obi-martin (mtambo wa magoli) amewatema Arsenyau na kujiunga timu dume Man Utd.
Alivyoulizwa na waandishi kwa nini unaikacha Arsenyo na kuhamia kwenye matofali ya kuchoma akajibu "Arsenyo kuna umama mwingi"
Haiwezekani kila msimu ligi inapoanza mnadanganyana kua huu ndio msimu wenu halafu ikifika May mnatoka mikono mitupu na kupena false hope kwa msimu ujao. View attachment 3058927
Aisee hili jamaa liongo kichiziUmesikia kwanza habari ya dogo chido obi-martin (mtambo wa magoli) amewatema Arsenyau na kujiunga timu dume Man Utd.
Alivyoulizwa na waandishi kwa nini unaikacha Arsenyo na kuhamia kwenye matofali ya kuchoma akajibu "Arsenyo kuna umama mwingi"
Haiwezekani kila msimu ligi inapoanza mnadanganyana kua huu ndio msimu wenu halafu ikifika May mnatoka mikono mitupu na kupena false hope kwa msimu ujao. View attachment 3058927
waambie hao wanyama pori........Pre season ni mech z kujifurahsha tu wakt mwingn na kuwek utimam wa mwil sawa ndo maan unaona city kapotez kwa celtic ns ac milan pia madrid kafungwa na ac milan ila niukweli kuwa kwa sasa njia pekee ya nyie wapinzani kufurahia ni sisi kukosa ubingwa na nyote kuhamia man city nje na hapo hakun chaka mtajifichia sabb timu zenu ni ungaunga mwana trip shamba trip garage...
Dogo ana miaka 16 tu ila ndie anaekimbiza U18 kwa magoli, msimu ulioisha amecheza mechi 20 katia kambani goli 32.Kwaio huyu ndio mbadala au mgombea namba na hojlund?
Miaka 20 nyuma, arsenal chini ya mzee Wenger ndio tulikua kwenye huu ujinga.
Kila la kheri nyumbu, sisi tunasubiri usajiri wa Mikel Merino tu hapa. Tuanze kupiga spana
Nikupe takwimu za Eddi Nketiah alivyokua U18?Dogo ana miaka 16 tu ila ndie anaekimbiza U18 kwa magoli, msimu ulioisha amecheza mechi 20 katia kambani goli 32.
Huyu dogo akitimiza miaka 18 balaa lake litakua kubwa kwenye Epl, matusi yatakua hayakauki humu juu ya huyu dogo.
Kikubwa alichonifurahisha wakati akihojiwa na waandishi wa habari alisema hawezi kufundishwa na Tetea wakati Kocha la makombe Sir Erik Ten Hag na Ruud Van Nestroy wapo England.
Huyu dogo anajielewa sana, alivyoanza kutolea mifano ya kina Van Persie walivyopoteza muda wao Arsenyo nikaona kabisa huyu dogo ana future ya kueleweka. View attachment 3059217
Nikupe takwimu za Eddi Nketiah alivyokua U18?
Nyumbu nyie Endeleeni kujidanganya tu
duels duels duelsUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
( Mikel Merino Bid Submitted)
Huyu ni moja Sajili ambayo inafanyika sio kwa vile Jina kubwa au ila inafanyika Kwa kuzingatia Arsenal wanahitaji na Profile ya Mchezaji.
Kwenye Mpira kuna kitu tunaita phase hizi uwa zipo tatu 1st phase, 2nd Phase, 3rd Phase, Kwa team kama Arsenal ambayo mpira wake ni pass nyingi hivyo inahitaji ufanisi kila phase hapo.
Huyu Merino ni Mchezaji ambae ana perform kwa ubora kila phase hapo.
Tuanze Merino ni 6'2 unaweza kuona ni mrefu kwahiyo ichi kitu kinamfanya kuwa moja wachezaji ambao wamewin Duels nyingi uwanjani, Wao wanamuita duels Monster.
Na Ligi ya Epl Inahitaji Physical kubwa Watu wanatumia sana nguvu Mfano Newcastel hivyo kupata mchezaji Ambae ni physical mzuri kuwin Duels ni faida.
Pia Merino Akiwa Eneo la Chini ( defensive third) au tuite pia Build phase kutokea chini vile vile.
Merino Anautaka mpira jambo la kwanza, akihitaji mpira akili yake kuupeleka mbele ( progressive play), Pia jamaa ana uwezo kufanya turning akiwa na mpira kwa ufanisi, Uwezo kuzuia mpira kwa Mwili wake na kuweza kupata upenyo kuondoka eneo ambalo wapinzani wameweka pressure.
Ukija Kiushambuliaji huyu jamaa ni mzuri sana kushambulia box mpinzani ana uelewa mkubwa wa kujiposition Katikati ya mistari ya ulinzi mpinzani tunahita ( between the Line) pia anauwezo mkubwa kuoperate Half Space hii inasaidia kuwepo kwa pattern Nzuri maeneo hayo.
Kwa vile nilishasema Jamaa ni mrefu kwenye kucheza mipira juu ata Corner anaongeza threats kwa Wapinzani.
labda nisikuchoshe Sana Merino ni #8 asa LCM sababu ni Left footer lakini pia anaweza kucheza kwenye double pivot ya namba 6 wawili.
Kumbuka Arsenal Akiwa anajilinda Mara nyingi anaswitch 4-4-2 hapa tunakuwa na namba 6 wawili hivyo Merino anaweza kuoperate hapo.
Ana sifa kubwa kufanya aggresive pressing eneo la kiungo bila kuchoka Kama unavyomuona Odegaard hivyo kuna kitu ataongeza.
Huyu jama Technical Quality yupo vizuri hii inasaidia team kuweza kutawala Mchezo au kusogea kutoka eneo moja kwenda lingine.
Lakini kila Mchezaji ana madhaifu Merino yupo Limited kiasi fulani Kutokana na Kutumia mguu mmoja tu.
Hivyo kuna baadhi mijongeo tunaweza kuwa limited but haya yote yanamalizwa na team work
kama Atasajiliwa basi Profile wise ni sahihi kulingana mahitaji Ligi na Arsenal Asa upande LCM
Amigos
View attachment 3061634
duels means 50/50
Angalia hapaMikel Merino makes it 80/20, Je umepata habari ya huyu jamaa kwenye duels pale ulaya?