Tanzania Norway
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 338
- 656
Mkuu maneno yako utayakataa ndani ya miez miwili tuHuyo timber ni rafu tu ndio anajua huko kichwani hamna mchezaji mule.
Tukikutana na Nyumba, beki tatu upande wetu hatuweki mtu, yan panakaa wazi tu na bao hawapatiArsenal’s current defensive depth:
Ben White
Jurrien Timber
William Saliba
Takehiro Tomiyasu
Gabriel Magalhães
Jakub Kiwior
Riccardo Calafiori
Oleksandr Zinchenko
View attachment 3057010
Hapa hauzwi mtu, maana kuna watu washaanza kusema Zinny na Kiwior huenda tusiwe nao next season.Hizo beki mtaziona kwenye mashindano yote hapa chiniArsenal’s current defensive depth:
Ben White
Jurrien Timber
William Saliba
Takehiro Tomiyasu
Gabriel Magalhães
Jakub Kiwior
Riccardo Calafiori
Oleksandr Zinchenko
View attachment 3057010
Mzee Ferguson alishawai Kusema, washambulia Bora wanashinda mechi ile beki Bora zitakupa ubingwa.
Kipindi hiko Manchester United hawaitwi NYUMBU
Hii code naona Arteta ndio ameistukia, hatujachelewa. View attachment 3056990
nyumbani pamenogaMAJOR BREAKING from @MatteMoretto: Agreement reached between Arsenal and Real Sociedad for Mikel Merino!€30m + bonuses.The player will join Arsenal in the next few days.
Huyu Mikel Merino Afanye haraka aje kuzoeana na wenzake
View attachment 3058223
Yupo mbona, za chini chini amekula teuzinyumbani pamenoga
sijui kwanini hamisi amegoma kurudi
Hii sio Jambo la kufurahia, coz Nyumbu hamtapata ata shoot on target.Baada ya kuona pressing, overloading, aerial duel, positional interchange na flexibility hazijawapea kombe lolote, msimu huu false hopes zenu meamua kuzielekezea kwa mabeki sio?
Timueni hio Tetea yenu mtafute kocha wa kueleweka la sivyo kila msimu mtakua mnakuja na false hopes zenu halafu ikifika mwezi May mnaanza kutukanana humuView attachment 3058542
Nyie kondoo huwa mnachekesha sana, mtu kama hawajui anweza akafikiri mna bonge moja la timu, kumbe leo tu mmeshachabangwa mbili na liva ya vibabu.Hakuna Timu itapata shoots on target zaidi 5. Hakuna, haiwezekani, haitatokeaView attachment 3057008
Pre season ni mech z kujifurahsha tu wakt mwingn na kuwek utimam wa mwil sawa ndo maan unaona city kapotez kwa celtic ns ac milan pia madrid kafungwa na ac milan ila niukweli kuwa kwa sasa njia pekee ya nyie wapinzani kufurahia ni sisi kukosa ubingwa na nyote kuhamia man city nje na hapo hakun chaka mtajifichia sabb timu zenu ni ungaunga mwana trip shamba trip garage...Nyie kondoo huwa mnachekesha sana, mtu kama hawajui anweza akafikiri mna bonge moja la timu, kumbe leo tu mmeshachabangwa mbili na liva ya vibabu.
Hii sio Jambo la kufurahia, coz Nyumbu hamtapata ata shoot on target.
Kwaio huyu ndio mbadala au mgombea namba na hojlund?Umesikia kwanza habari ya dogo chido obi-martin (mtambo wa magoli) amewatema Arsenyau na kujiunga timu dume Man Utd.
Alivyoulizwa na waandishi kwa nini unaikacha Arsenyo na kuhamia kwenye matofali ya kuchoma akajibu "Arsenyo kuna umama mwingi"
Haiwezekani kila msimu ligi inapoanza mnadanganyana kua huu ndio msimu wenu halafu ikifika May mnatoka mikono mitupu na kupena false hope kwa msimu ujao. View attachment 3058927