Nakubaliana nawe kabisa hii timu yetu msimu huu sijui kama tutakuwa hata katika top 8. Ni mdebwedo wa hali ja juu kuiachia timu ambayo ilikuwa karibu kabisa na kileleni na ilihitaji few more good players kuweza kushinda EPL, sasa hivi nadhani wachezaji wengi wa GUNNERS watakuwa wamekata tamaa na si ajabu baadi yao wakaondoka kati ya sana na kipindi kifupi cha usajili katika ya December na January 2010.
Wenger anastahili kuzomewa kila siku iendayo kwa Mungu na uwanja si ajabu hata usifikishe half of its capacity. Miye nitabaki Arsenal with expectation kwamba wanaweza kubadili mwelekeo wa timu in few years lakini timu ya kuogopa mwaka huu ni ManCity maana mwarabu kaamua kuweka pochi lake wazi kabisa ili kuimarisha timu hiyo, ukiondoa majeruhi sioni timu yoyote ya kuizuia timu hiyi kuutwaa ubingwa, lakini tusisahau katika dakia 90 chochote kile kinaweza kutokea hasa kama timu imejiamni kupita kiasi.
[/B]
...BaK, habari za likizo? ...mimi sina mashaka kabisa na msimu wa 2009- 2010,...top two bila wasiwasi, jipe moyo bro.

Teh teh teh Mgonjwa yupo ICU anapumua kwa mashine bado mnajipa Moyo mazee? Safari hii hata top Six hampo!
Bro haya tusubiri kidogo maana penye ukweli uwongo hujitenga. Inawezekana kabisa kauli yako ikawa ni kweli tupu.
-bwa ha ha ha ha mpemba akaunti yako haijafungwa bwa ha ha ha
Nakubaliana nawe kabisa hii timu yetu msimu huu sijui kama tutakuwa hata katika top 8. Ni mdebwedo wa hali ja juu kuiachia timu ambayo ilikuwa karibu kabisa na kileleni na ilihitaji few more good players kuweza kushinda EPL, sasa hivi nadhani wachezaji wengi wa GUNNERS watakuwa wamekata tamaa na si ajabu baadi yao wakaondoka kati ya sana na kipindi kifupi cha usajili katika ya December na January 2010.
Wenger anastahili kuzomewa kila siku iendayo kwa Mungu na uwanja si ajabu hata usifikishe half of its capacity. Miye nitabaki Arsenal with expectation kwamba wanaweza kubadili mwelekeo wa timu in few years lakini timu ya kuogopa mwaka huu ni ManCity maana mwarabu kaamua kuweka pochi lake wazi kabisa ili kuimarisha timu hiyo, ukiondoa majeruhi sioni timu yoyote ya kuizuia timu hiyi kuutwaa ubingwa, lakini tusisahau katika dakia 90 chochote kile kinaweza kutokea hasa kama timu imejiamni kupita kiasi.
Teh teh teh Mgonjwa yupo ICU anapumua kwa mashine bado mnajipa Moyo mazee? Safari hii hata top Six hampo!
Samir Nasri
Samir Nasri suffers fractured right fibula
Nasri has sustained a fractured fibula during this mornings training session at the Clubs pre-season training camp in Austria.
The midfielder will be out of action for two to three months. veryone at the Club wishes Samir 8 a speedy recovery.
big loss wakuu na imekuja mapema mno sasa hapa wenger naona lazima afanye usajili wa striker hili arshavin acheze nafasi ya nasri mpaka akipona huku akisaidiana na rosicky.najua rosicky angekava lakini sidhani kama yuko ready.
asante mkuu .Poleni wapinzani....japo adui siku zote mwombee njaa!
Samir Nasri
Samir Nasri suffers fractured right fibula
Nasri has sustained a fractured fibula during this mornings training session at the Clubs pre-season training camp in Austria.
The midfielder will be out of action for two to three months. veryone at the Club wishes Samir 8 a speedy recovery.
big loss wakuu na imekuja mapema mno sasa hapa wenger naona lazima afanye usajili wa striker hili arshavin acheze nafasi ya nasri mpaka akipona huku akisaidiana na rosicky.najua rosicky angekava lakini sidhani kama yuko ready.
...aaaarrrrgggghhhh! mkosi au kafara? 😡
mkosi...aaaarrrrgggghhhh! mkosi au kafara? 😡
mkosi
Poleni sana ,msipoangalia hata top 4 hamgusi...halafu mkosi wenyewe (prone to injuries) wale wale misimu yote;
Nasri, Diaby, Djourou, Van Persie, Eduardo, Rosicky, Clichy,... eee Mw'Mungu tusaidie weee... msimu huu sitaki maradhi ya moyo mimi mwenzenu eeeh,...doooooh!